nimeamua kumwachia mungu kuhusu hili swala la kuolewa atakapo Ona yeye nastahili ataniletea tyu ameen
2026-04-09 18:46:21
268
K🫧 :
Nikiona hv naumia naona kama mungu kanisahau mm maana kila ninapogusa ni maumivu tu 🥺
2026-04-10 11:52:11
92
Ashfaina ❤️🦋 :
nimechoka kuzini wallah 😭😭
mungu naomba unipe mume mwnywe her na mimi 🙏🙏 inshallah
2026-04-10 14:49:05
74
Waa🖤🌸 :
Dahaa comment section Allah awafanyie wepesi mpate hitaji la miyo yenuu😌
2026-04-23 12:32:22
20
breenah VENOM :
ambao hamna cheti cha ndoa jmn tunawaombea sana na nyie mpate inashaallah
2026-04-10 09:00:44
48
miss uweje🩷💕 :
ee mwenyez mungu nijalie namm sikumoja nisain cheti chandoa 🤲🤲 mimi nammewangu
2026-04-10 06:00:42
28
precious soul :
Allah atupe wenza wetu wenye kheir
2026-04-10 13:35:19
15
Narhaheinna :
Hiii siku inaraha sana Ila maisha baada ya hapo yamenipa majuto mm
2026-04-10 17:44:28
14
Amina Mohamed :
nimesaini na Sina hata hamu ya kusaini tena🥺🥺🥺
2026-04-26 15:59:59
5
chununa2 :
mm sijui lini nimeshaomba sana ila bado miaka inaenda. masha Allah Allah awape masikilizano
2026-04-10 11:34:39
6
Äuñt🥀Søphy🇹🇿✨💫 :
Acha niwe na Subrah na kumuomba Allah 🙌 kwamaana kilakitu kinawakat wake ⏰️InshaAllah 🙏
2026-05-02 13:13:21
2
SAKINAH❤️ :
Kadr ya mwenyezi ikifikaaa inshallah 🙏🏾
2026-04-11 09:28:50
5
𝒵𝓊𝓌𝑒𝓎𝓃𝒶𝒽🌹 :
Mimi hata sijui kwa kwelii nasubiri tu qadar ya Mwenyezimungu🥺
2026-04-10 17:10:01
15
DA SHUU🫀🫂-OUT FIT :
nimesoma comment zote ila nimelia kwa uchungu inshaallah na mim nitashika hicho kitabu huku nikisahahu kila kilichotokea allahuma ameen🙆🫂🥺🤲🤲
2026-04-10 13:30:52
6
khadii moha :
Ameen
2026-04-26 00:47:35
1
user2117530229312 :
mungu ajuaye n lini mm mwenyewe sifahamu
2026-04-09 22:11:50
8
Asnat12 :
mwezi wasita na mimi
2026-05-02 16:17:42
1
kang joing :
nashukulu mungu mdogo angu Amina nimehakikisha amesain nayeye Maan alinambiya kaka nataka siku ya halus yangu uwepo kwakuwa tumebaki wenyew hakika ametimiza Asante kwa Kila jambo
2026-04-10 17:22:16
7
user5945201539772 :
Hongera binti iwe ya kheri
2026-05-07 08:12:32
2
Neema :
Hakika Naamin ipo siku itatimia🤲😢🙏
2026-04-12 14:07:05
2
shad_licious :
dah at sjui kw kwel namuachia mungu kw hili☺️☺️
2026-04-16 07:14:42
2
coutinho :
Hongera mama umependez ☺️😊
2026-04-30 06:53:14
2
Mom Fahim jr :
ambao wajaolew mungu awap mahitaj ya moy wao semen inshallah
2026-05-14 13:23:55
2
It's Mumou👮♀️ :
Mungu nibariki na me inshaallah 🙏
2026-04-12 15:45:46
3
moodys :
Masha Allah. ila kuposti Allah Awahifadhi na Macho ya Mahasidi YAARAB
2026-04-30 01:55:00
2
To see more videos from user @hunter_maraha, please go to the Tikwm
homepage.