@theoriginallibraqueen1: ♎ LIBRA Libra ana akili ya kusoma nishati za watu kwa utulivu mkubwa. Hasemi sana lakini anachunguza kila kitu kwa ndani. Anahisi mabadiliko ya vibe hata kabla hujafungua mdomo. Anaweza kugundua wivu kwenye macho, hofu kwenye sauti, na uongo kwenye tabia ndogo ndogo ambazo wengine hawazioni. Libra ana kipaji cha kusoma lugha ya mwili na nia zilizofichwa bila hata kuuliza maswali mengi. Ndani yake kuna mizani inayopima kila kitu, nani yuko wa kweli na nani anavaa sura tu. Lakini licha ya kujua ukweli, Libra hachagui ugomvi. Anachagua amani, anachagua tabasamu, na mara nyingi anabeba ukweli kimya kimya ili kulinda hali ya utulivu. Comments your birthday upate twin wako🥰 #tiktokkenya #tiktoktanzania #astrology #libra #fyp
hii tabia ninayo sana mtu akiwa anaongea na mimi namuangalia facial expression,body language yake then nahis kabisa hapa nimepigwa nakausha naendelea kuenjoy movie😅😅
2026-04-10 09:54:24
8
✨ashy collection ❤️♎️ :
7/10 🥰 usinifiche mana ntajua 2 endapo nkituliza akili na kukubali nafsi yangu kwamba si kweli
2026-04-10 09:32:28
6
✨ Favored ✨ :
overthinking will take me one day 😭😭😭😭😭
2026-04-10 09:28:16
8
Mama_mchina :
Kweli kabisa
2026-04-11 08:47:58
1
habibtynifah :
27/9
2026-04-11 08:02:14
1
Bümblē_bẽẽ🐝🩷 :
24/09
2026-04-10 13:15:40
3
Upendo💝Wangu💕 :
mm Libra mbka nmekufollow☺️
2026-05-13 00:32:50
0
J.A.S.M.I.N.E….🦋🩶🖤 :
Sio huyu wangu 🤣
2026-04-10 13:02:33
1
Shaddie swai :
23/9
2026-04-10 10:15:13
4
Rebby :
ni mim kabisa😌
2026-04-10 19:39:34
1
G,Ndânşhâų♎️ :
LIBRA♎️AURA🙂🙃
2026-04-10 21:39:27
1
gracie 26th :
26/9
2026-04-13 05:00:33
2
Nicah❤️✨💙 :
Mm hy kabisa jmn 🥰
2026-04-10 11:11:29
3
To see more videos from user @theoriginallibraqueen1, please go to the Tikwm
homepage.