@azellachalamila: “Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri. Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye. Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki. Akamwuliza, Jina lako n’nani? Akasema, Yakobo. Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.” ‭‭Mwa‬ ‭32‬:‭24‬-‭28‬ ‭SUV. ‬‬. #jesus #meme #men #christmas #allah

Azella Samuel Chalamila
Azella Samuel Chalamila
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 April 2026 06:31:28 GMT
51044
4897
88
403

Music

Download

Comments

riziki_pyuzza
Pyuzza :
Hili neno linawaka kama moto ndani yangu 🥺🙌🏼
2026-04-12 05:23:05
32
evanimartini
Evani Martini :
amina sana malezi katika mungu yameisha kabisa
2026-04-10 17:48:50
12
jeremiahmasalale
YIRMEYAHU :
Prophet Imani Mwakanyamale🙌🏾🔥
2026-04-11 09:33:47
8
mjasiria
mjasiria :
daa mungu Akutinze mtumishi
2026-04-11 17:37:33
9
zacharia688
jay@688 :
sauti ya maamlaka yenye roho Mtakatifu ndani yake be blessed brother 🙏🙏
2026-04-24 15:37:35
8
kanemex
Kanemex 👑 :
ukweli ambao unasemwa na wachache sana🙌🙌
2026-05-28 09:03:10
0
veronicapetro493
Veronica Petro :
NENO LA MUNGU LITASIMAMA, mambo yote yatapita!
2026-05-02 16:44:36
1
lukomo_tz
Lukomo_Tz :
100%.
2026-04-10 13:46:12
6
josephedson239
eddyjr :
nimejifunza ktu kikubwa sana
2026-04-22 09:53:01
0
nickson_controller4
nicksoncontroller6 :
yereeeeee
2026-05-15 06:45:59
1
user7024739122451
user7024739122451 :
God bless you 🙏
2026-04-10 20:22:11
3
geradkaithanngoye
Gerad kaithan Ngoye :
Blessing Man of God
2026-04-12 21:23:35
2
rowlandgasper
Chingy :
AMEN 🙏
2026-04-28 04:37:37
1
mungas43
53653041 :
mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
2026-04-12 12:15:55
2
princepius969
princepius969 :
Hakika💪
2026-04-10 16:27:40
4
devis0339
Devis :
amen 🙏🙏
2026-04-11 04:42:52
3
user4907822885878
GJos :
Amen
2026-04-10 15:54:59
2
user2460532845368
manuee Mutunga🥰🥰 :
amen
2026-04-10 17:15:15
3
that___man
Him🗡️ :
This is deep🙌
2026-04-14 23:48:11
1
greenlontain1
stera devcy :
Amen 🙏 🙏
2026-04-12 14:19:25
1
b.black5187
💦🍁𝔅.""𝔟𝔩𝔞𝔠𝔨"🕊️💦🍁 :
mchungaji unajua 🙏🙏 kama umekubari like hapo🙏🙏
2026-04-26 16:20:03
1
francetz67
Frances✝️ :
Hakika umebarikiwa na umenibariki God Blesse you
2026-04-13 06:17:58
2
mwambajr05
mwambajr :
fact
2026-04-11 16:25:40
1
user1716697002761
AUGUSTINO Melele53 :
That great
2026-04-12 12:22:06
1
erickmalija
Erick Malija04 :
Amina
2026-04-11 19:07:32
1
To see more videos from user @azellachalamila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About