@silvabelmsuyaofficial: Usikate tamaa #ibada #nyimbozasifa #kkkt #sifa #kuabudu

Rev. Silvanus Abel (Silvabel)
Rev. Silvanus Abel (Silvabel)
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 April 2026 06:58:10 GMT
310257
15595
217
1033

Music

Download

Comments

neema._vitenge.tai
Neema _Vitenge &Tailoring :
I like Lutheran hymns ,Born Lutheran ,Forever Lutheran.
2026-04-10 18:15:41
203
winnmashasi
Winn💕💫💞 :
😭😭 umemngoja amekutwa.. Rest Easy Pst Msuya😭💔
2026-07-26 21:12:25
1
missmage7
missmage😄 :
daah nimekumbuka wimbo huu msiba wa mamayangu 2024 pumzika kwa Amani maana nlikua nikiimba nikitazama ndugu upande wamama naishiwa nguvu mim😭😭
2026-04-10 11:42:48
60
rosetesha6
rosetesha6 :
dah namkumbuka mom...pumzika kwa Amani uliteseka sana mom
2026-04-10 11:58:11
18
emanuelsamwel45
Ematheyboy :
😭😭😭nataman niipate hii nyimbo yate maana inanigusa sanaaa
2026-04-10 19:40:20
3
farhiajastineshoo
famerry cakes n kitchen :
nimejikuta namkumbuka Mareham babangu mzee jastine shoo apumzike kwa aman😭
2026-04-10 13:14:23
13
neemamalenge
ney😘 :
pumzika kwa Aman baba angu nimekukumbuka sana
2026-04-12 09:27:37
4
sherry5552
sherry :
be blessed son of God
2026-04-25 16:45:54
1
jonas.fred8
Jonas Fred :
mh unanikumbusha msiba wa mama mungu ampumzishe kwa amani 🙏
2026-04-10 18:13:59
7
binti.naftal
Binti Naftal :
Ninataka kuingia mjini pa Mungu🥰
2026-04-10 11:39:26
6
supercute842
💞💕🤔 :
Mm sio mlutheran lkn hii nyimbo naipenda Sana inanibariki👍
2026-04-10 20:13:10
9
chef_aloyce
chef_aloyce :
😭😭😭😭 nakumbuka msiba wa baba yangu😭😭😭🙌🙌
2026-04-11 22:11:55
7
happyprizegirl1
prizegirl1# :
😭 nikiskia hii nyimbo najipa moyo mkuu maana faraja yangu mama yangu ayupo basi nyimbo hiii
2026-04-17 11:33:36
1
precious.mangare
Precious Mangare :
unanikumbusha babangu mbarikiwe watumishi
2026-04-10 11:14:58
2
user4356268747650
Mary estomeni meta :
nimekumbuka sana msiba wa baba yangu.daa apumzike kwa amani .ulivoibwa nilipata maumivuakali sana mpaka nimelia
2026-04-11 07:52:58
1
naima.stewart
Naima Stewart :
nawakubali sana hawa watumishi
2026-04-10 19:21:32
2
user6294098596872
miss Niffer :
dah! naupenda san nikiwa kwenye maombi
2026-04-10 14:11:03
3
user63131987681970
Pride :
I love you Jesus
2026-04-11 06:47:29
2
tinnerbarik
Tinna :
naupenda sana
2026-04-11 12:27:52
1
maryslah5
Mary Slah :
Amina mbarikiwe sana k .k.k.t nawapenda sana mnanifariji na hizi nyimbo zenu 🙏
2026-04-10 17:18:05
3
user9475461803731
user9475461803731 :
daah namkumbuka baba,mama,dada yangu jamani kipenzi mm naumia mwenzenu
2026-04-11 18:12:14
1
jntcollection0
JnT Collection :
Nmemkumba sana baba yangu😭😭😭😭😭 upumzike kwa amanin
2026-04-11 12:53:25
1
lizzy24387
lizzy :
nakumbuka msiba Wa baba yangu uwiiii pumzika kwa amani baba angu kipenzi Hata kanisan tukiimba lazima nilie
2026-04-10 13:04:43
1
esther.mungay
Esther Mungay :
Nmekumbuk msiba wa mamangu😭
2026-04-10 16:25:11
1
user7477503017049
Betty :
😊😊😊 daaa Maumivu Sana nilomwimbia babangu na kakaangu
2026-04-10 09:46:29
1
To see more videos from user @silvabelmsuyaofficial, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About