@faraja.seminary: #goviral #trendinggospelsongs #fyp #bestschool #trendingsound

Faraja Seminary
Faraja Seminary
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 10 April 2026 11:06:07 GMT
819085
56954
983
1520

Music

Download

Comments

reemamajan
reemamajan :
wangapi tulikuwa hivi 2012 _ 2013 LAKINI Sasa hivi sijui ata nipo wapi 😳mungu niludishe ata kidogo nije mbele zako Tena mbona nimepotea😭😭😭
2026-04-11 08:18:21
329
ever_0910
ever :
jaman jina la shule plz na kama ina advanc na ada zake pia
2026-04-11 10:25:53
54
elizabethjulius36
Boss lady :
hii faraja seminari iko wap jmn
2026-04-10 11:10:25
35
mbeyaqueen1
@mbeya queen👑. :
Namimi nilikuaga hv hv sijuh nini ikanipata😁
2026-06-06 20:54:15
1
user65596969451065
Stanley Makoba :
natamani sanaa kurudi madhabahuni kwa bwana enzi hizo shuleni nilikuwa hvyoo mtaani sasa sijui nin kimenikuta nimangaliaa hii video had choz nataman sanaa lakin nashindwa mungu nisaidie nikutumikie wew tena katika roho na kweli 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-04-13 07:09:44
22
youngteacher56
youngteacher56 :
shule ipo mkoa gan?
2026-04-11 07:07:26
12
gaudenceolemollel
Gaudence olemollel Olemollel :
nilikuwa hivi 2009 hadi2012 makuyuni boys secondary school ila kwa sasa dah!!! Mungu nirudishe mm ni mwanao
2026-04-13 10:35:28
14
user5149738112380
neema nyamongo :
mungu awakumbuke wanangu🙏
2026-04-10 19:03:06
28
innotech06
INNO TRONIC :
Apa kunamtu yupo apo na anapata 1.7
2026-04-10 21:20:49
12
annie.jy0
Annie🇹🇿 :
Mungu naomba unifanye yule wa zamani nazid kupotea🥺🥺🥺🥺🥺
2026-04-12 21:29:47
11
user9781662583173
felix :
hongera Sana wanangu
2026-06-02 11:25:33
1
tjail.mwampagama
tjail mwampagama :
Hii ni TAG et
2026-04-10 17:50:29
10
user9737071750693
Golden girl ✨️ 💛 :
nimekumbuka adi niliko toka na huyu mungu wangu penda sana ww daddy
2026-04-11 22:04:52
7
sircharles297
Sir-charles :
amen. amen amen namuogopa Mungu ninapoona vijana wadogo wanamtolea Mungu Ibada namna hiyo, Mungu ambukiza Roho ya wokovu kwenye familia yanguuu katika jina la Yesu kristo wa Nazareth Amen
2026-04-11 07:24:40
10
yanga.12888
YUSUF☑️45 :
wow 🫶🫶🙏🙏😭😭😭
2026-04-25 16:42:22
1
jane34462
Jane :
ameeen mtafika mbalii naamini mi pia nimekumbuka mbali sana kipindi nip advance jmn♥️♥️♥️
2026-04-10 16:39:28
11
yudajohn45
yudajohn45 :
🥰🥰🥰👌👌Safi sana vijana Mungu ni kila kitu katika maisha
2026-04-10 16:17:51
14
user4198203611379
Barongo :
nyimbo hii imenibariki sana.Mungu wa mbinguni awatunze.
2026-04-10 17:21:14
7
user1629902098588
Agabo Z :
GOD Bless all of you my fellow student's
2026-05-29 00:15:00
1
kizurikinauagmail
[email protected] :
Mungu awe nanyi awatimizie haja ya mioyo yenu 🙏🙏
2026-05-26 20:25:19
1
salahdekenny1
salahdekenny :
mungu nirudishie hali yangu📖😭😭😭 nilikuwa namwona mungu sana kupitia kuabudu na kusifu,,,nitendee tenah Bwana yesu ,,2017-2020 ENABOISHU
2026-04-16 17:37:35
2
avuniwamzule276
avuniwamzule :
MUNGU awabaliki
2026-04-26 18:51:57
2
user5715271944150
Alisen :
Ee muñgu tunaomba rudisha kondoo wako waliopotea
2026-04-25 23:14:46
2
beatrice2815
Beatrice😍🤎 :
Ee Mungu 2016 hadi 2019 nilikuwa hivi nimekuja dar😭nimesahau kila Kitu🥹
2026-04-24 20:20:16
2
imanidamqsq
faith :
Mungu naomba unipe nafasi nyingine
2026-05-18 14:05:40
1
To see more videos from user @faraja.seminary, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About