:1.Najua umeangalia
2.Umecheka🤣🤣🤣
3.Umekuja kwenye comment
4.Umeona comment yangu
5.Aya like sasa..😂
2026-05-16 08:26:11
30
Mc Lameck Simbo :
Sikuwepo na sijui kitu wowote kwenye hyo taarifa ya habari🥺🥺🥺
2026-04-20 04:01:44
37
WINNERS CIRCLE TEAM 🏆 :
watano elifu nne
nawapenda sana nyie watu😅
2026-04-27 21:31:28
21
Deez@94 :
wengine twendeni tu
2026-04-12 09:32:13
34
Le premier WILLE 💰 :
Umeongea ukweli bro ningekufollow sai lakin niko na
usingizi wacha nilale nikiamka nitakufollow
2026-05-16 10:15:52
5
gloryfranks :
nimefurah vip
2026-05-16 08:40:28
4
gengelangu :
nlishakutana nayo hii Moshi to Arusha . konda anataka kuongez mtu wa 5 kweny seat ya wa4 .. abiria kashaingizwa akaambiwa kakaepalee.. 🤣akakutana na uyo maza akamwambia Ole wako uniguse wewe kaa ila usiniguse🤣🤣🤣
2026-04-12 20:55:04
7
RYAN :
2026-05-16 11:12:51
1
mama mkwe 07 :
Huyo dada anaeongea sana nimempenda, ni mkweli na jasiri, kina mama sauti yetu ni silaha, nguvu yetu ipo mdomoni, hongereni sanaa,,,
2026-04-14 06:21:40
24
only 😎 kicheko..😅😁 :
ila ww kija ww 😅 unatafta nn ww
nakuonea huruma 😅🙌
2026-04-11 15:11:28
12
_.Collins007 :
rekodi mchicha kule usinirekodi mimi we ni vipi😂😂
2026-05-16 10:01:55
5
Samrat tjm :
hahaha wanapenda hela
2026-05-26 12:13:14
0
~🦋Fanny_mallya🍀 :
Sasa si twende tuu jamaniiii😂😂😂😂
2026-04-13 11:36:15
15
Halima Haji :
kweli nachukiaga nikienda moshi nikae watano wakati siti ya watu 4
2026-06-05 05:23:06
3
Mamusca :
Arusha Moshi hiyo safi sana ndugu zangu
2026-05-27 10:12:21
6
MICHAEL D.✌️ :
moshi -Arusha 😅🙌
2026-04-20 19:19:28
5
A_Shirima :
kesi kama hii kama we una nauli inayotakiwa kaa kimnya tu..
2026-04-12 19:05:19
1
gyakie❤️🩹 :
wamama wa kichaga midomo yao natmanigi ipinde tu nikikaa nao karibu
2026-04-12 12:06:15
2
veronguma :
Ungegeuza kabla hujachukua nauli ingekua vema sana😂😂😂😂 uyo ni mimi sitoi hela mpaka ugeuze gari😂
2026-04-13 13:49:07
3
lucy :
Arusha au wapi hapo
2026-05-16 09:03:48
3
collins :
Abiria hamna msimamo mliambiwa elf 4 wengine wanasema mateja ukinipakia hakikisha unataja nauli yako la sivyo kita kuramba wakati una nibadilishia nau
2026-04-15 04:26:52
1
nurat 💝💘🔐 :
😂😂 nikuambie kitu kakaa
2026-04-12 17:16:12
1
bruno18 :
unaelewaa
2026-04-12 17:20:49
3
ADDIH✅ :
namshukuru mungu na mimi nlikuepo apo😁😅😅
2026-04-18 15:29:34
0
jackpapaah,🇹🇿🇦🇪 :
nikuambie kitu kakaa
2026-04-12 17:28:45
3
To see more videos from user @mrd0pamine, please go to the Tikwm
homepage.