@drrocktanzania: Uhusiano wa gas, acid na vidonda Mara nyingi vitu hivi huenda pamoja, ingawa si kitu kilekile. • Gas husababisha tumbo kujaa hewa, kuvimba, kujamba sana au kubelch • Acid husababisha kiungulia, kuungua kifuani au tumboni • Vidonda husababisha maumivu ya juu ya tumbo na wakati mwingine kuungua au kuuma ukiwa na njaa Acid reflux yenyewe haisababishi gas moja kwa moja, lakini mara nyingi hutokea pamoja kwa sababu ya vyakula, kumeza hewa, au matatizo ya mmeng’enyo wa chakula. Jinsi vinavyoungana Kwa mfano, mtu akiwa na acid nyingi, anaweza kuanza: • kubelch sana • kumeza hewa zaidi • tumbo kujaa • kupata gas trapped Hii husababisha maumivu ambayo watu wengi husema ni “gas tumboni”. Kama ukuta wa tumbo umeharibika (kwa mfano kutokana na H. pylori au dawa za maumivu kama ibuprofen), acid inaweza kuendelea kuunguza na kusababisha vidonda. Vidonda pia vinaweza kuambatana na: • bloating • kubelch • gas • kichefuchefu Kwa lugha rahisi Gas = hewa tumboni Acid = tindikali ya tumbo Vidonda = jeraha kwenye ukuta wa tumbo Mtu anaweza kuwa na gas kwa sababu ya acid, na acid ikizidi au ukuta wa tumbo ukiwa dhaifu inaweza kupelekea vidonda. #CD#CD4i#vidondavyatumbor#drrocktanzaniao#foryoupage
dr_rock_tanzania
Region: TZ
Saturday 11 April 2026 04:07:20 GMT
Music
Download
Comments
Ms_Rose❤️ :
Mm Nina hivi Vyote doctor tiba yake pls
2026-04-12 06:00:24
1
To see more videos from user @drrocktanzania, please go to the Tikwm
homepage.