@zellahuzazitips: 🚨 USIPUUZE PID! INAWEZA KUATHIRI UWEZO WA KUPATA MTOTO 🚨 PID (Pelvic Inflammatory Disease) ni maambukizi kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke ambayo yakichelewa kutibiwa yanaweza kusababisha madhara makubwa sana. ⚠️ Madhara ya PID • Kuziba mirija ya uzazi (fallopian tubes) • Ugumu wa kushika mimba / utasa • Maumivu ya muda mrefu ya nyonga na tumbo la chini • Mimba kutunga nje ya kizazi • Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya • Maumivu wakati wa tendo la ndoa • Kuvurugika kwa hedhi • Kutengeneza usaha kwenye via vya uzazi 💔 PID isipotibiwa mapema inaweza kuacha kovu kwenye mirija ya uzazi na kuathiri uwezo wa kupata mtoto baadaye. (Cleveland Clinic) 📩 Usione aibu kuuliza. Kama una dalili hizi au unahitaji ushauri, DM sasa kwa maelezo zaidi na msaada wa matibabu. ##foryoupage##madamzellah##afyayangu##uzazi##uzazimwanamke

Madam Zellah
Madam Zellah
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 11 April 2026 04:56:24 GMT
25812
99
5
41

Music

Download

Comments

emam.sebit.hussai
Abu ishamel :
PID
2026-05-25 14:47:39
1
user9534567976701
mrs raider⚘️ :
naomb namb
2026-05-14 20:56:34
1
bobo.ali062
BOBo :
jamn bei gani
2026-04-23 11:20:46
0
To see more videos from user @zellahuzazitips, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About