@wasafi_media: Kama wewe ni mwanamke na umeolewa njoo hapa kwenye comment utuambie huwa unaongea vipi na mume wako ili akuelewe😁 msikilize Nino hapa akimuomba mume wake Ricardo Momo awahi kurudi nyumbani💃 Mahojiano yake yote ndani ya kipindi cha mashamsham yanapatikana Youtube ya wasafi Media #Love #wasafimedia #tiktoktanzania🇹🇿