nampenda lkn ninae mpenda ako na mwenye anapenda😓😫
2026-04-11 19:56:44
7
Riley's :
fact yan, na kwa bahati mbaya ukiwa kwa situation km hyo watu huwa wanakuona km ww ni mwehu. ila jmn!
2026-04-11 20:13:39
3
Meeki_O🌹 :
saa huuu moyo si ukubal maan me nimeshindwa kuvumia hii dharau🥹💔
2026-04-11 19:03:52
3
Mr.k :
yes its hurt alote but its metter of time and distance
2026-06-03 13:03:12
0
sifa mukinje :
good
2026-05-31 20:15:28
0
Alexander Masasi :
mnauhakika moyo ndio hua unapenda
2026-04-11 19:36:59
1
SALBA OUTFITS :
loyalty
2026-06-04 21:38:24
0
salmah hatyty :
kwel kabis
2026-05-12 14:59:09
0
Tadeo Lucas :
moyo wangu☺️☺️☺️
2026-06-05 12:23:36
0
Dogo tony 🔥🔥 :
zetuu duaaa
2026-06-02 06:50:55
0
minar cute :
pole si wwe tu tupo wengiii😭😭😭
2026-04-11 19:44:06
0
Sashaft :
mm nimeshindwa nampenda alafu yy ana watu wengne
2026-04-11 21:00:28
2
MUREKATETE :
nilidhan ni mimi tu kumbe tuko wengi 🥹NACHOKA MIMI
2026-04-12 08:56:08
2
user1176970580084 :
ni kweli
2026-04-22 18:31:21
1
jeni_star2 :
ata mim bado nampenda anasema et Sina maajabu nimelia sana
2026-04-12 17:36:06
1
niffer🎒 :
yaan sjui moyo upoje2
2026-04-11 17:52:46
1
allywaziry105 :
sometimes akili na moyo vinabishana moyo uakwambia mng'anie kwasababu unampenda lakini akili inakwambie huko usiende ,epuka dharau ....mapenzi yanauma mnoo💔
2026-06-01 15:57:33
1
J. malu malu :
Daaah 😔 ndoivo broo
2026-04-11 16:41:08
0
abdallahborani :
ni kweli kaka mapenzi yanauma
2026-05-23 14:30:35
0
MAULID :
100😭😭
2026-05-24 16:06:56
0
Ambloss :
nibola mnaoumizwa na mapenzi kuliko sisi 2naoumizwa na familia ze2 inaumiza sana unajuta kwann ulizaliwa katika hiyo familia😪😪😭😭