Safari ya Mchana ni uhakika zaidi kuanzia usalama wako mpaka usalama wa safari yenyewe kiujumla, ila wengi wao wanapenda safari za usiku kwasababu hakutani na vizuizi vya mara kwa mara unajitupia vile unataka wewe
2026-04-12 03:32:25
2
Paco🇹🇿 :
kwa heshima👊
2026-04-12 06:15:19
1
Abduliqadr@ 1HZ :
Tairi izunguke kaka
2026-04-12 08:36:51
1
Mr_Hussein🦅🦂 :
ila dereva wa 1Hz😂😂😂😂
2026-04-12 09:04:17
1
muinjiristi jimmy :
mzee wa nyumbi bombii
2026-04-12 06:21:52
1
BABA PAROKO ☠️🇹🇿 :
afu usiku gari inakua nyepesii 😁
2026-04-11 21:43:34
1
NYANGA 🇹🇿 :
kijan wa peramiho
2026-04-12 07:23:03
1
To see more videos from user @06msoma, please go to the Tikwm
homepage.