@user52vickie: Kutoka 1kg mpaka sasa sio kitu chepesi asante mungu kwa ukuuu wako happy birthday kaka jay @MR me @agaphiner🧸💕 @Ms ~ryne #viralvideo #fyppppppppppppppppppppppp

Vickie💦
Vickie💦
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 April 2026 12:38:52 GMT
88925
5596
194
56

Music

Download

Comments

user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
hivi mbona watoto wanaozaliwagwa njiti wanakuwa wazuri sana
2026-04-12 17:20:04
30
priscar572
mom fetty❣️❣️ :
naumia sana wangu alifariki 😭😭
2026-04-12 18:23:09
23
mwanapilijuma14
MRS SALIM :
mwengine alienda wapi
2026-04-12 21:32:02
4
tiffanybaby47
𝖚𝖓𝖎𝖖𝖚𝖎𝖊 ✌️💍💦 :
primuture wangu na mi walikua wawil mmj kafariki nikiwa kangaroo nimebaki na doto tu inshallah🥺🥺
2026-06-06 20:37:31
1
aiemminah10
Aiem minah❣️ :
Walikua Pacha au
2026-05-30 18:51:22
0
linahvictor
linah classic :
ongera sana 😘
2026-04-12 15:25:12
1
dty.w.3lish
Daty 😘😄 :
hongera kpenz mapacha changamoto. umenkumbusha mbal kdg mm nlkuwa na mapacha 1 alkuwa mvivu kupumua 🥲🥲🥲mpaka sass nna mtt 1🥲🥲🥲ila maombi meng mungu akutunzie kjana wako 🥰🥰🥰
2026-04-13 02:28:58
0
mslee592
Ms Lee :
Waooooh! Mungu Mkubwa 🥹❤️
2026-04-13 11:47:03
3
jujubaby319
Jujubaby :
mm mwenyewe walikuwa wavivu kupumua wakaona waniache mama yao 😭 asante mungu sahiv nipo nakijana wangu kanifuta machoz mungu akukuzie boyboy
2026-04-13 16:01:07
5
faithhezron1
fey :
Mungu akikupa anakuamini dear.... Mimi ilikua ni gram hata kilo akifika saiv kilo 12 na ni twins🥰🥰🥰
2026-04-13 09:12:24
2
kettyheaven09
Mom Heaven❤️🔐 :
❤️❤️Mungu amlinde daily
2026-04-12 19:31:09
1
naahdss
Naah DSS🔥 :
mume wa mwanangu MUNGU akukuze uje uwe kama baba ako uje unipe mahali Mimi mkweo njaa zitaniuwaa😆😆🙌❤️
2026-04-12 19:29:34
7
mom.jj22
mom JJ :
nilikua nalia mimi jaman mpk saiv ni mtot ambaye kwakweli kashik moyo wangu
2026-04-13 19:51:27
0
laetitia4363
laetitia🦋🦋🦋 :
Mungu ni mwema 🙏
2026-04-12 19:58:45
2
jiddaboldarini
Jiddah :
oooh Vickey umekuza Mamy kaka amekua Hadi raha hongereni sana
2026-04-19 18:31:59
1
winydany5
Winydany :
Yaan huyu ni Damaris wangu kabisa ila Mungu fundi bwana💪😘
2026-04-12 20:30:17
1
shuubaby1234
peace💞💓❤ :
Happy birthday baby j wangu allah akutunze vyema mama love u❤️🥰🥰❤️
2026-04-12 14:01:48
1
domanna.estersitt
Domanna💋 :
Jaman
2026-04-14 19:03:03
0
tiktok.my59
my🌹🌹 :
hongera sana dah wangu alifariki😭
2026-04-12 15:05:56
0
_smile73_
_smile_ :
🥰🥰mkwe wangu wa nguvu❤️❤️keki nisikose
2026-04-12 13:14:20
1
evalineeterry
Evaline E Terry :
Toto zuri🥰
2026-04-12 19:50:42
1
momtriplets2025
MomMahreen~MomTriplets🇰🇲 :
Hongera mpnz umekuza Allah akukuzie kijana wako❤️❤️
2026-04-13 10:11:58
1
dadamuuzamagauni
Dada muuza magauni🛍️ :
Hii kitu usiombe yakukute wallah ni vile M/mungu hukupa mtihani unaouvuka 🥰
2026-04-13 09:17:59
1
irenejonathan67
Official rennie❤💍🔐 :
hongera sana kipenziii🥰
2026-04-12 17:13:54
2
kelvin.fortunatus
Kelvin Fortunatus :
ongera mamaa🥰🥰🥰
2026-04-12 12:46:40
0
To see more videos from user @user52vickie, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About