@emmanuelmaxmilian3: #2NYAKATI5 :11-14 [11]Ikawa makuhani walipokwisha kutoka katika patakatifu; (kwani makuhani wote waliokuwapo, walikuwa wamejitakasa, wala hawakuzishika zamu zao: [12]tena Walawi waimbaji, wote pia, yaani Asafu, na Hemani, na Yeduthuni, na wana wao, na ndugu zao, hali wamevaa kitani safi, wenye matoazi na vinanda na vinubi, wamesimama upande wa mashariki wa madhabahu, na pamoja nao makuhani mia na ishirini wakipiga panda;) [13]hata ikawa, wenye panda na waimbaji walipokuwa kama mmoja, wakisikizisha sauti moja ya kumsifu na kumshukuru BWANA nao wakipaza sauti pamoja na panda na matoazi na vinanda, wakimsifu BWANA, wakisema, Kwa kuwa ni mwema; kwa maana fadhili zake ni za milele; ndipo nyumba ikajawa na wingu, naam, nyumba ya BWANA, [14]hata makuhani hawakuweza kusimama ili kufanya huduma yao, kwa sababu ya lile wingu; kwa kuwa nyumba ya Mungu imejaa utukufu wa BWANA. AMEN 🙏

EMMANUEL MAXMILIAN
EMMANUEL MAXMILIAN
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 12 April 2026 15:54:27 GMT
164689
8057
337
1842

Music

Download

Comments

elizabethpeter907
Binti sayuni 💞 :
Mungu atusaidie maana tunaabudu Kwa mazoea tutake rehema yake Sana 😭😭
2026-04-12 20:50:40
28
kesia2300
KESIA :
ni kweli mama!Kuna kanisa nilikuwa nimealikwa,nilienda nikiwa naumwa,nilipofika kukawa na ibada ya kuabudu ndipo nilipokea uponyaji kwenye kuabudu
2026-04-15 08:06:39
10
lunyungu22
Lunyungu_G :
Amen Mwenyezi Mungu Anisaidie Niwe Namwabudu Katika Roho Na Kweli
2026-05-21 11:40:25
3
coletha.mwano
Coletha Mwano :
Yesu Tusamehe tusaidie Mungu wetu
2026-04-13 06:25:43
7
mbatamathieumurhula56
Mathieu murhula :
amen , mimi napendaka kusifu saaana kuabudu piya , Yani kama Niko na muda muferu nasikiyaka raha
2026-04-13 15:57:14
12
user2351991009361
Danieli :
Ameni ukweli Kabisa mtumaini
2026-04-19 08:27:02
2
cheilosamwel
Cheilo Samwel :
imenigusa nami pia roho mtakatifu anihurumie jamani
2026-05-10 20:16:59
2
laureinekavira6
Laureine kavira :
Amin nime ongezewa kitu ubarikiwe mama🙏
2026-04-15 12:47:50
3
leahdzamebenson
dzame :
Amen Amen utukufu na hesima nikwa BWANA 🙏🙏🙏
2026-04-20 15:38:19
2
user5177760284987
user5177760284987 :
Amina ubarikiwe mama kwa kazi unayofanya
2026-04-15 08:55:33
4
janny8481
Dorcas 🙏 amen🙌🫂 :
Amen mungu wg unilidi
2026-04-19 10:10:11
2
user990276756530
Régina Classic Djuma :
Amen
2026-04-15 18:50:58
1
sarah.emanuel.sam
Sarah emanuel Samweli :
amina
2026-05-20 18:35:45
0
user86377280002365
Robai :
Amen 🙏🙏🙏
2026-05-08 14:58:54
1
user4907822885878
GJos :
Amina
2026-04-14 16:59:00
1
alexmwasambu
Alex Mwasambu :
Amen🙏🙏🙏
2026-04-15 07:09:16
1
user1799321903810
user1799321903810 :
Amen 🙏
2026-04-16 07:04:15
1
collins.lyimo
Collins Lyimo :
Amen 🙏
2026-04-19 02:24:24
1
yona_boy6
joshua :
amina
2026-04-15 06:07:55
1
fey.gold
🌸House Girl Wa Madhabahu🌸 :
Amen 🙏
2026-04-14 08:39:22
1
esperancekasema
Esperance Kasema :
Amen 🙏
2026-04-14 15:20:45
1
bettychebon622
Betty Chebon :
Amen🙏🙏🙏🙏
2026-04-14 18:17:40
1
elvane9019074543761
elvane mbala :
Amina 🙏
2026-04-15 18:57:55
1
user3593627765480
mkinga glass kiteto :
amina
2026-04-15 15:19:48
1
user1601888019880
mwakilembe :
barikiwa sana mtumishi sijui nakufananisha we Da Anna Wa kyimbila mrs meshaki
2026-04-17 03:33:39
3
To see more videos from user @emmanuelmaxmilian3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About