nashukuru mama,mana huyu wangu hua anajifanya anamisimamo yake hasa swala la marafiki wakiume
2026-04-14 10:59:03
31
Engeneer Juma :
Unaongeaga point 😍😍😍
2026-04-12 18:10:25
42
Kuchibanda Maduhu :
dah toka nimeanza kumsikiliza huyu dada Leo kaongea zaid hakuna kilichobaki, barikiwa sana
2026-04-13 04:23:41
42
GILET MASUNGA :
we ni best choice wa speech nzuri
2026-04-13 09:38:44
7
TATIZO kamdomo :
sahihi yamenikuta
2026-04-19 13:03:26
6
Otile :
barikiwa aseeee
2026-04-20 06:30:31
5
momanyi george :
uko correct 💯
2026-04-13 13:56:28
8
Abu :
Hapo umesaidia wanaume wengi asante kwa maneno ya busara 🙏🙏🤗
2026-04-19 04:33:57
8
Magembe Spare parts :
Tumswalieni Mtume Waislam wenzangu 😥🤲🫶
2026-04-18 07:17:07
14
Charles Manono :
exactly hiyo ni ukweli
2026-04-15 02:21:57
5
COSED/RDC :
poleni sana dada Mungu akubariki kwa shauri hii.
2026-04-13 14:09:26
10
Nathan :
Ila wewe dada una akili sanaaaa. Yaani ukweli yalinikuta na Mungu kasimama na mimi na nikatokea kuwachukia wana jinsia hiyo na Mungu anisamehe nayo shukurani🙏🙏🙏
2026-04-17 21:02:51
8
Ramadhan Mohamed :
nakushukuru sana mwanamke unaeijitambua maana tunahangaika sna Hulu endelee kuelimisha dada mungu akumbli sana😊
2026-04-22 20:19:25
5
boniface Petro kadawi :
wewe ninoma nakuamia sana
2026-04-13 07:16:29
6
Immanuel Kyabaloti :
kweli kabisa madam ndo ukweli
2026-04-12 18:23:10
8
user87927635626014 :
nakukubali sana dada
2026-04-13 17:56:09
5
ben :
kweli ndugu
2026-04-12 21:59:12
6
theson254 :
Following from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪, penda wewe
2026-05-02 07:06:46
1
Philemon Gaspary :
salute sana dada...king philly kutoka Mwanza Tanzania
2026-04-13 10:19:29
5
Wambura Michael :
Asante dada evodia Leo umekuja muda muafaka kabisa mungu akutunze upate maisha marefu
2026-04-13 18:26:24
7
Aposiano 01A :
mungu atulinde tu
2026-06-09 02:19:53
2
Synplice Kalonda :
Asante Sana maman merci beaucoup vraiment
2026-05-23 14:30:04
2
christiankitsamwa :
Fantastique
2026-05-05 08:36:40
1
Christian kalonji+243981069621 :
Asante
2026-05-20 10:30:34
1
sam wel :
good advice madam
2026-05-29 14:54:29
1
To see more videos from user @evodiachambulikazi, please go to the Tikwm
homepage.