@watengwawtc: Nikitembea kwa mguu toka mnara wa Mwenge/Nakatiza mnara wa saa Umbwa bila mawenge/Location kijenge juu Nimpitie na Kenge/nifike kikosi Watengwa na wana tuyajenge/Mada ya leo Maskani ni Ulinzi wa Hiphop/Culture Inazidi potea wameshapagawa Poeple/Hii generation ya sasa kila mtu Ommy Dimpo/Big up kwa kidarang’a ,Tejo Clan mpo Simple/ A city kupotea HipHop ni mwiko/ Unalinda ngome hata kama ushavuta Jiko/ Yaliopita si ndwele hatuna masikitiko/ Omari kitiko ,Tuko rada na mshiko/ HipHop imeokoa maisha yangu narudia/ Nlitengwa na familia na skuwai kujutia/ Hawakuelewa kwamba mwanao nlikua na hisia/Gonga vyombo Double niendelee kuboogie/ #WalinziWaHipHop #WWH #Watengwa #FullIleBaraka

Watengwa WTC
Watengwa WTC
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 April 2026 04:04:50 GMT
1075
40
1
3

Music

Download

Comments

george.makodinda
George Makodinda :
🔥🔥🔥 Sijawahi kujutiaa HIPHOP🔥🔥🔥
2026-04-13 17:08:16
1
To see more videos from user @watengwawtc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About