@auntbic25: Mnafeli sana wanaume siku izi, siku iyo iyo umekutana na mwanamke unaanza kumtongoza “ ohh unajua mi nakupenda sana, nataka uwe mke wangu, wanawake wameniumiza sana,” Broo, nakublock hapo hapooooo🤣🤣 mnakataliwa si kwamba hamna vigezo, ila mnakuwa disqualified kwa sababu mnatongoza Kama watoto wa primary, nani kakwambia mwanamke anatongongozwa kwa kuambiwa Nakupenda????
auntbic25
Region: TZ
Monday 13 April 2026 05:22:59 GMT
Music
Download
Comments
Silicon Silicon :
nilikua nasubir ataje hela tu ni scrol 😅
2026-04-14 08:25:08
68
Dii Rojii :
hamna formula ya kutongoza bana, wanawake hawafanani profiles, maongezi ya mwanzo ndio yatakua direction
2026-04-14 06:15:57
83
bizzokepage :
mm sicheleweshi Sina mda wa kupoteza on time
2026-04-14 05:13:34
27
danielmsangi495 :
hamna vitu vya maaana vyakueleza
2026-04-14 04:13:05
35
Lennie :
Good advice.. Nimekufollow..😊😊😊
2026-04-14 20:00:55
4
GK :
what's going with the sunglasses 🤣
2026-05-10 11:04:51
0
ponkmaster :
as days GO on.... sio goes
2026-04-14 20:11:52
4
G :
Sio kwa watoto wa efu 2
2026-04-14 01:13:18
21
Officialzungu :
hii clip nilikutana nayo Instagram 😃😃
2026-04-14 19:12:41
6
ObligadoTronix :
Unatoa code sasa 😁
2026-04-14 02:16:40
10
MWANANJELA SHAWANGI :
naomba niwe meneja wako
2026-04-14 12:44:03
6
standard :
Yan hii ni trick ya kizaman sana Moja ya kupoteza muda
2026-04-14 04:49:25
8
joseph Mwaimu :
Umetisha…
2026-05-16 06:44:20
0
Ronny-Franklin :
sawa ww ndo mwanaume wa Taifa🙌🙌
2026-04-14 13:03:41
7
scientific8 :
we have no time to waste, yaani nikae the whole month alafu niambie sio mimi 😂😂
2026-04-14 00:25:28
5
it's a boy :
noma madam true story
2026-04-14 12:55:45
5
avithus Kagaruki :
mi hata namba sichukui
2026-04-14 04:03:16
6
lumary_store02 :
very true
2026-04-13 20:56:26
6
benson swai :
2nanunua 2
2026-04-14 19:55:19
4
izackruz :
Aunt?!
Tulia Sisi tunanjia zetu
2026-04-15 08:21:27
3
Peter jr🙄🙄 :
nimepokea kwa 🤲🤲🤲
2026-04-14 21:14:42
2
careen jerry :
ok
2026-04-14 14:03:46
2
Evans Mathias Kautipe :
2026-04-14 13:54:12
2
conqure :
kumbe halina akili kwahyo ss tunaokusajya namba kila siku tukisublia mwezi mzima ntakua na namba 100 my friend
2026-04-16 09:57:32
3
To see more videos from user @auntbic25, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.