@realtalkertz: #tanzaniatiktok #Realtalker #kenyantiktok🇰🇪 #congo #africa

RealTalker🤒
RealTalker🤒
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 April 2026 06:31:38 GMT
239428
11686
250
448

Music

Download

Comments

joshua.wangwe
Joshua Wangwe :
Mungu hayupo aliyeweka utamu kwenye ndizi ni bibi ako
2026-04-13 13:15:36
64
samweldokera
samweldokera :
hamna mungu naamini mizimu yangu
2026-04-13 18:33:55
46
masharubumajaliwa
Masharubu majaliwa :
Kwenye swala la Mungu mim unigeuz 100% Mungu yupo bila shaka
2026-04-15 18:11:01
39
obote65
Obote🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
MUNGU yupo naludia tena MUNGU yupo leo jana na hata milele😎
2026-04-14 03:55:57
34
macoboy77
Macoboy :
mungu yupo bwana
2026-04-14 08:15:04
14
user82146976349865
@endrufighter!! :
kama giza lipo basi nanuru ipo pia acha kupotosha wa2 mwanafalsafa elimu huambatana nakiburi cha ujuaji
2026-06-05 13:33:21
1
chimedukedieze
medy :
huy jamaa alikuwa milembe wiki iliyopit mi doctor wake kwahy mxameeni tu
2026-04-14 05:20:43
17
pilimndengestan
Pili de mayo ❤🦀🦀 :
jibu Zuri sana
2026-04-13 22:52:42
7
user3241615752619
kikore :
me ningemjibu kuwa kwa yeye anaeamini katika mungu ameshawah ata kumuona au ni kuamini tu ktk utupu!
2026-04-13 12:00:15
6
bsms217
Robert Kab :
natafuta sana mawasiliano ya uyu jamaa. please nisaidieni
2026-04-13 07:59:13
18
johnlesoit
Chosen one 💯❤️‍🩹👑 :
mungu YUPO NDANI yetu sie enje
2026-04-16 11:38:47
9
emmanuel.mangoma
Emmanuel Mangoma :
wachokonozi Forever 🫡
2026-04-13 08:25:37
15
user57316159526003
Eng Mahuba :
umejibu kwa logic sana yaan kufikirisha
2026-04-13 13:59:21
12
kalihos.kalihos
Kalihos Kalihos :
uyu ndio bro wangu
2026-04-13 07:40:17
16
masterbuilder446
Master builder :
Mungu yupo
2026-05-29 20:11:58
0
malenga32
malenga :
uko Sawa kabisa kaka bigup
2026-04-13 10:58:26
15
juniorkelvin25
G450Digara :
Mnamchosha saana kaka angu
2026-04-13 21:23:26
7
mussamkwizu
mussamkwizu :
nakubali sana
2026-04-13 11:35:27
7
papa.november76
Papa November :
Big up sana 👏🏻👏🏻👏🏻mdogomdogo wataamka usingizini.
2026-05-03 06:05:25
2
cate123344
cate@123 :
mungu yupo na nishamuomba na akajibu maombi yangu na nazidi kumuomba
2026-05-06 18:23:32
0
faminhonacheha
nacheha og :
MUNGU YUPO NIMSAIDIE HAPO KUJIBU then Aendelee kubwabwaja
2026-04-20 20:04:46
1
shabby99695
Tupo Africa. s.o.m. :
MUNGU NDIE ALIYEUMBA KILA KITU, SEMA TU BINAADAM AFYA INAMSUMBUA
2026-05-09 21:25:47
1
12giosue
Gio 𝕏 :
Mungu ndo mm ww yule na vitu vyote
2026-04-22 10:06:09
1
masenar991
Masenar99 :
1🥰😂
2026-05-01 17:19:11
1
wakichina.songoyi
Wakichina songoyi Sulumbu :
mungu yupo lakini tumemuacha tukafata mambo mengine
2026-05-18 12:32:45
2
To see more videos from user @realtalkertz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About