@mis_beatricebrighton: AFYA YA KINYWANI IFAHAMU FOREVER BRIGHT TOOTHGEL. Bidhaa muhimu sana kwa afya ya kinywa kwa ajili yako na familia nzima! Watoto mpaka watu wazima wanaitumia bila hofu yoyote ya madhara ya kumeza! Ina Aloe na Propolis kwa wingi! *Faida Zake:* 💡Inasafisha na kung’arisha meno vizuri sana bila kuchubua (non abrasive) 💡Haina Fluoride hivyo inafaa kutumiwa na watoto bila hofu ya kumeza 💡Inaboresha afya ya fizi na kuondoa maumivu ya fizi 💡Inasaidia kuondoa maumivu ya meno 💡Ina Aloevera kwa wingi sana hivyo kujenga meno imara 💡Inasaidia kuondoa michubuko au vidonda kwenye kinywa 💡Inaondoa changamoto ya harufu mbaya mdomoni 💡Tunaiita first aid product kutokana na uwingi wake wa Aloevera na Bee Propolis ambazo zinatunza sana ngozi na kuua vijidudu kama bakteria, fangas 💎*Jipatie yako leo kwa ajili yako na familia nzima!* Ni 28000/= TSH tu Wasiliana kwa simu namba 0623007576 /text whatsup kuipata . Dar es salaam Tanzania 🇹🇿 ,mikoani tunafanya delivery 🚚 piah kwa usalama zaidi . #personalcare#Alovera products

Ms_Beatrice Brighton
Ms_Beatrice Brighton
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 April 2026 07:23:22 GMT
871
31
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @mis_beatricebrighton, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About