@testimony_tv24: MAMA UPENDO NKONE. HAUTAABIKA. #upendonkone #trendingvideo #gospelmusic

Testimony TV
Testimony TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 April 2026 08:16:15 GMT
655010
82802
7675
6915

Music

Download

Comments

rachael.kagendo
Rachael mwendwa :
Mungu nipee uvumilivu wa moyo nijifungue salama
2026-05-26 07:11:47
80
lymaslee
wang Lee 🔥🥰 :
kwani mtu unafanya nn Ili kumrudia Mungu 🥺🥹
2026-04-14 09:15:47
212
millieosita
millieosita :
God hear me
2026-06-04 20:34:14
0
dayanamhelela
D cute 🌺🌺 :
Nataman nikae sehemu mwenyw nilie kwa Nguvu 😭😭😭
2026-04-24 22:10:12
164
linah.george37
Linah George :
Nataman kulia dunia nzm iniskieeeeee 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-04-25 06:40:32
83
stanlee006wamzinyi
Stanley Abaa :
Amen Mungu nitie nguvu Yale ninayo pitia na watoto wangu🙏
2026-06-03 13:56:12
5
desteria.chonekwa
sweeet~~D"🦋🦋 :
Inafika wakati najiona mimi sina samani yeyot duniani😭😭
2026-05-25 04:18:48
29
monica.ngodoki
Monica Ngodoki :
dada nimeshiba tu nilivo sikia neno la mungu hakika yesu ndio kimbilio langu💪
2026-04-13 20:14:25
129
black.moses13
black moses :
amen and amen
2026-06-04 19:03:50
0
olive35666
Olive Primordial :
kweli ni mazito lakini na juwa mungu ipo nami
2026-05-22 21:28:28
25
user70491528457617
ange ngabo :
amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena amena
2026-05-26 12:42:55
5
gracie24808
✨ Gracie💫👏 :
mungu wangu nipe mwanzo mwingine katika maisha yangu
2026-05-09 09:41:24
8
lucyjailo
lucyjailo243 :
Amina🙏🙏🙏🙏
2026-05-25 06:19:28
3
user4217310204511
user4217310204511 :
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭bwana YESU naomba unisaydie usniache MUNGU Wang 🙏 🙏
2026-05-27 11:49:58
6
christineadongo490
Christine Adongo :
Mungu naomba untumie mtu anitoe Katika hii hali ninayoipitia Katika Jina La Yesu
2026-05-22 11:04:52
7
beatricegoodluck83
Nitrice cute❤️💋 :
Ameen naamini nitavuka kwasababu Mungu ndio njia ya ukweli na uzima
2026-05-24 06:55:50
7
mussasaringo
kiboko Yao..💔 King of love :
I respect 🙏 🫡
2026-06-04 18:39:00
0
user18551175752813
sarahh :
Amen God bless you mom
2026-06-04 19:42:29
0
stacyatieno227
Stacy Atieno :
Mungu nivushe kiwango kingine jehovah 😭😭😭😭😭😭😭
2026-05-24 07:18:25
6
anna.laison
Anna Laison :
mungu nitetee nisiaibike nakutegemea
2026-05-23 03:57:50
5
user5446534168230
happy💓💓 :
Napenda zaid kurudi lakini sielewi kabisaa nilitaka kujatib nashindwa MUNGU naomba nisaidie niweze hat kusoma biblia t 😭😭😭
2026-05-24 08:36:07
12
user62902877865978
Chimène 16 :
amen mamangu
2026-04-16 19:44:55
12
angelhumphrey27
🧘‍♀️Mumy angel🥀 :
Amina naiwe ivo na Mungu atusamehe tupate kumrejea yeye mda wote🙏🕊🙏🙂‍↕️
2026-05-11 10:48:10
5
user9509155175805
lucy ❤️💞💓 :
mimi roho yangu inataka nipata mtoto sijapata🙏🙏🙏🙏
2026-04-16 17:39:50
53
user8384666997522purity
user8384666997522purity mweshi :
Mimi nmechagua mungu katika maisha yagu na nmeokoka mungu nisirudi nyumba💖✅✅
2026-05-19 14:03:48
5
To see more videos from user @testimony_tv24, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About