@bathromeo.kikao.o: #Auxiliary_Contact #Fahamu_Matumizi_Ya_Auxiliary_contact_(Visaidizi vya_contactor) Jifunze kupitia Stater hii Ya #Foward_and_Revers Karibu #Bathromeo_Electrical_services0752666389@follower
brother hongera sana ila kuna kitu apo nikueke saw umesem ili motor itembee reverse lzm ugeuze waya kweny input sio output ya contactor na ukigeuze kweny output motor haitowez kutembea inavohitajik icho sio sahih kiufup unawez kugeuza unavopenda kma upande wa input au output wa contactor na motor itatembea kma unavotaka
2026-04-14 05:50:27
2
Mr. Integrity :
Big up sana senior kwa Elimu nzuri na Bora
Gzii Tunachota madini kupitia wwe
maana Elimu ya Darani pekee haitoshiii
2026-04-13 09:49:29
2
incognito :
boss fanya ya star delta pia❤️
2026-04-13 22:13:52
1
Roy G-lee :
bro which contactor one should attarch the timer?
2026-04-13 16:20:25
1
johnfrdmutambo :
u are a good teacher please continue your work
2026-04-21 05:58:19
0
shedracklyamuya27 :
umesema tuje kwenye group la Whatsapp lakini Sina link😔
2026-04-14 07:59:39
0
Masama Masama :
Salute sana kwako kaka. Najifunza mengi sana Toka kwako kuhusu motor installation
2026-04-18 13:49:13
0
Mr. Thirteen :
Thanks for teaching please include now delay timers for the students to learn more
2026-04-13 17:46:17
0
Mr_🍎Appaul :
shukran nyingi kwako boss nmeelewa kipindi
2026-04-13 14:50:29
1
mbowe fundi umeme :
interlocking nakubali mkuu💡💡
2026-04-13 19:11:28
0
Ambros Wiring Hub_⚡📌 :
brooo mbona muendelezo wa hii video sija iona
2026-04-25 11:10:37
0
Luvanga Electrical :
safi sana chief hii elimu ni faida kwa wote tunashukuru sana 🙏
2026-04-13 14:43:07
0
@Officiall guccibtz :
big up sana kak,,inaonyesha mwalim wako alikiwa nomaa
2026-05-05 19:47:07
0
wackho jay88 :
kaka naomb uniunge kw group 0778960275
2026-05-14 16:18:33
0
Hill'sJose 🇯🇲🇪🇹. Roots :
thanks 👍
2026-04-14 14:09:32
0
mitabaa :
shukurani Mr mungu awe nawe daima kwa moyo wako wa pekee
2026-04-19 15:29:28
0
sele :
marizia
2026-04-20 12:09:34
0
Doke Blessed John :
Waelimisha sawasawa Kaka
2026-04-17 12:39:21
0
shabani :
engineer naomba uni add
2026-04-17 03:59:18
0
Justine Nysnsoga :
pamoja sana ndugu yangu kwa mafundisho yako yametujenga
2026-04-24 17:21:26
1
Abraham electrical technician :
nice work engineer
2026-05-29 06:40:24
0
Gideon Mamuya :
put the drawing on table firat ,then pratical
2026-05-08 05:59:03
0
🅣🅗🅔 🅞🅝🅔 :
Ikiungwa mfumo ambao ukipress moja nyingine inajizima. ikiwa forward ukapress reverse inaweza ikaleta shida? kwa sababu ya speed kuwa kubwa kuja kuchange direction?
2026-04-17 14:25:24
0
taribany :
boss we balaha kwenye umeme Asante kwa kutupa darasa
2026-04-13 14:59:54
0
To see more videos from user @bathromeo.kikao.o, please go to the Tikwm
homepage.