@kipepeospoint: ✨ Pata ngozi laini bila maumivu na Disaar Hair Removal Spray Foam kwa 18,000Tu✨ ;Ni suluhisho rahisi na salama kwa kuondoa nywele bila kukata au kuwasha ngozi. 💖 Faida zake: • Huondoa nywele bila maumivu (painless) • Hufanya ngozi kuwa laini na smooth • Haina cuts wala nicks kama shaving • Inafanya kazi haraka hata kwa nywele ngumu • Ina viambato vya kutunza ngozi kama Aloe Vera, Shea Butter, Rose & Jojoba Oil • Inafaa kwa sehemu mbalimbali: miguu, mikono, bikini & mwili 🧴 Jinsi ya kutumia: 1. Hakikisha sehemu ya ngozi ni safi na kavu 2. Nyunyiza spray foam juu ya eneo lenye nywele 3. Subiri dakika chache (kulingana na unene wa nywele) 4. Futa au suuza kwa maji 5. Safisha ngozi na uipake lotion kwa unyevu zaidi.