Hakika Mungu wetu sio mchoyo hongera sana kaka mungu azidi kukutunza kuliko Jana🙏🙏
2026-04-13 17:08:32
4
my love m3💋💋💋 :
hongera umeweza🙏🙏🙏🙏
2026-04-13 21:11:45
1
Neema :
Amina mbarikiwe san
2026-04-13 11:55:30
2
user4571985791622 :
Be blessed my Brother ❤️, Nakombolewa na damu ya Yesu 🙏🙏🙏🙏
2026-04-14 18:03:02
1
Reginald Tango :
hakika brother mungu aendelee kuku bariki hvyo hvyo hii imeenda
2026-04-13 13:14:06
2
Adelaide :
nice song ni 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-04-13 10:39:29
2
Gervas I Sigili :
Nakushangaa unaye sema Kuna AI apo... Unaacha kutuliza akili yako na kumtafakari mungu kupitia huu wimbo unawaza AI pole sana...😊😊😊 BARIKIWA sana mtumishi wa mungu kwa wimbo mzuri ...🌹🌹🌹👏👏👏👏
2026-04-22 11:22:45
1
boay :
haleluya jina la yesu libarikiwe
2026-04-24 06:21:27
2
Rachel zawadi :
amen
2026-04-14 03:32:08
1
Emma Boka :
safi
2026-04-13 10:54:41
2
jisikavira947 :
asante sana
2026-04-14 20:20:42
2
𝐜𝐚𝐫𝐫𝐨𝐥 𝐬𝐡𝐚𝐤𝐲💞💞💞 :
𝐰𝐨𝐰 𝐧𝐢𝐦𝐞𝐤𝐨𝐦𝐛𝐨𝐥𝐞𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐝𝐚𝐦𝐮 𝐲𝐞𝐬𝐮 𝐀𝐦𝐞𝐧🙏🙏🙏🙏
2026-04-13 21:20:11
1
Eliudi :
Amina🙏🙏
2026-04-14 10:35:01
1
nyasa.finest :
ubarikiwe na Mungu akuinuie zaidi mtumishi
2026-04-14 14:19:11
1
Joelle km food :
glory to God 🙏
2026-04-13 11:12:20
1
Kate :
🙏🙏
2026-04-13 13:04:50
1
👍ABCHARLES PSY ✌️✌️ :
amina 🙏🙏🙏
2026-04-15 06:29:03
1
prisca zakaria :
Amen🙏🙏
2026-04-19 13:40:23
1
Zawadi msemo🍎🍎 :
Mungu akuweke viwango vingine my brother
2026-04-13 11:33:32
2
Trisha :
Mungu awabariki sanaa nawapenda🙏🥰
2026-04-14 06:27:52
2
BABAP :
mjifunze kuimba jamani mnatia aibu ,acheni sauti za AI tumeshazijua
2026-04-13 19:29:37
3
happy mayanga :
wow🥰🥰🥰🥰🥰💯💯💯💯💯💯💯💯kombooolewa nambolewa na dam ya yes hakika🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-04-13 18:39:03
1
Enlyee :
Nawapenda Sana kwakwel,ikimpendeza Mungu nitaungana nanyi sauti ya 3🥰🥰🥰
2026-04-13 17:37:52
1
Zariah Clavery :
unanibariki sana brother
2026-04-13 11:10:03
1
noelah64 :
Colable moja
2026-04-13 12:30:22
0
To see more videos from user @paschalphotographer.1, please go to the Tikwm
homepage.