@veeglowbeauty1: Ngozi laini, yenye kung’aa na yenye afya huanza na uchaguzi sahihi! Face cream hii inasaidia: 💧 Kulainisha ngozi kwa kina ✨ Kupunguza mikunjo na dalili za kuzeeka 🌿 Kurejesha mwonekano wa ujana 💖 Kuifanya ngozi iwe na glow ya asili kila siku 0774585164 #SkincareRoutine #NgoziNzuri #GlowUp #BeautyTips #FaceCream #SkinCareTZ #Urembo #HealthySkin #GlowingSkin #SelfCare
VeeLuxe Beauty
Region: IT
Monday 13 April 2026 11:50:50 GMT
Music
Download
Comments
Dell :
usichanganye watu ,hiyo hapo kwenye tangazo ni QINGLING na hiyo unayosema ni veelux wapi na wapi jaman?
2026-04-17 23:44:34
2
Iren Elias :
bei gan
2026-04-16 09:51:21
0
NGOSHA THE DON :
bei
2026-04-18 15:01:37
0
VEE MITUMBA👗 :
uso wa mafuta inafaa?
2026-04-21 17:28:54
0
Acha :
nipo morogoro mnawakala
2026-04-20 11:11:07
0
bahat rajab :
mbona nyie mataperi ivyo sk Moja tu ndio uzee una ishamani
2026-04-21 09:25:10
1
Grace Gervas :
mikoani mna tuma
2026-04-21 17:49:41
0
raya :
mm naitaka lakin nipo oman nitaipataje
2026-04-20 05:23:43
0
Muzne Ayubu :
nahitaji je nitaipata je
2026-05-29 14:02:28
0
Leah Eliakim :
nipo mwanza! mna wakala huku mwanza
2026-04-17 14:57:12
0
Veronica :
bei gani
2026-04-13 14:43:42
0
DA LULU❤️ :
nipo tanga unawakala
2026-04-16 17:23:00
0
MS GGG :
mulio tumia tupe muresho tafadhali
2026-04-28 21:16:31
0
beby aisha :
mnapatikana wapi
2026-04-19 04:25:48
0
Faymah_shop :
huna no ya cm
2026-04-27 05:03:00
0
user8978815998750 :
Nahitaji npo kahama
2026-04-18 18:50:54
0
Chotara wa kigogo812 :
Dodoma naipaje?
2026-04-25 07:04:16
0
Zena Mwiko :
mnapakana wapi na bei gan
2026-04-15 15:15:34
0
0695948902 :
mnapatikana wapi
2026-04-16 05:19:45
0
user39299486370596 :
kariakoo upande gani
2026-04-16 16:03:13
0
Suzana Alphonce :
aibadilishi rangi
2026-04-15 05:22:46
0
sussan :
nipo Lushoto Tanga unawakala?
2026-04-18 18:31:19
0
Rehema Issack :
nataka kko sehem gan
2026-04-17 09:34:36
0
WIJO COLLECTION :
Mnapatikana wapi?
2026-04-14 14:46:21
0
To see more videos from user @veeglowbeauty1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.