@doctorpikipiki1: #creatorsearchinsights #motorcycle #china #india #ugandatiktok mafundi tuwemakini kwenye ufanyaj kazi wetu tusiwe nahalaka yakupata pesa natuma mpotezamteja moja kwamoja fanyaa kitu kinacho eleweka na uaminike

doctor pikipki
doctor pikipki
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 13 April 2026 11:51:09 GMT
29524
1045
44
22

Music

Download

Comments

koganelectronics
Petro_kogantz :
appreciate 🫡
2026-04-22 12:26:16
3
njedengwa
Njedengwa :
natuma sana ujumbe hujb char
2026-06-06 16:47:02
0
mr.ndege
MR NDEGE OFFICIAL ❤️‍🔥🤣 :
nashkuru sana
2026-05-21 09:40:43
1
user9340986969488
checheno :
Brother nimekukubali
2026-04-24 20:29:25
2
eugenelukes254
ugene lukes :
kabisa bro
2026-05-12 07:27:32
1
mumberewandahiserge
MUMBERE KIMODA SERGE :
aksante kwamafasiriyo zaidi mimi niko DRC CONGO
2026-04-24 06:40:51
2
mwan1906992
mwana vavene :
oya tajili
2026-05-02 05:03:13
1
adamu9059
mlule :
follow me
2026-04-14 15:38:39
1
mo_wizzy96
FRED PIKIPIKI BEI NAFUU :
piki piki yangu ni boxe 125 ikinyeshewaa inajiresi wakati unaendesha shida ni nini kakaa
2026-05-11 19:05:00
1
msyalia01
😏😏 :
fundi la ulaya
2026-05-13 07:26:05
1
g_uniquetz
g_unique🐬 :
Dogo upo wapi?
2026-05-06 15:00:04
1
hembemediatz
Hassanhembe :
upo vzr kijana nakufatilia sana ktk kazi zako.
2026-05-07 08:21:21
1
godianomar
Godian Omar :
na tvs 150 hlx kua na mis na plug inachafuka sana shida ni nin fundi wangu nipo kenya
2026-05-16 11:32:58
1
ally.omary900
Ally omary :
mic ya valvu ni IP tutumie tujue
2026-04-25 21:05:01
1
said.77776
SAID 777 :
uko wapi
2026-05-01 07:22:45
1
joeyard7
joeyard7 :
Kuna CT 125 boxer Nilibadilishia Plug,Valve,Adi coil lakini bado Ilikuwa na mis yaani Kila kitu yenye tunashuku tulibadilisha lakini hio mis haikuisha hio pikipiki sikuwahi ielewa kama fundi
2026-04-15 19:44:48
2
trustgodngowo
Trustgod Ngowo :
yenyewe bike yangu inaingia miss ikizima apo kuwasha ni changamoto na apo plug mpya cableta mpya mafuta full lakin inamiss na inschukua muda kuwaka tena
2026-04-23 15:15:11
1
wanyau_og
WANYAU_OG :
mi kidogo nishishe engine kabsa na pikpik ina miez 5
2026-04-13 16:34:56
2
spannerboi68
spannerboi68 :
ningependa uongelelee boxer HD shda ya miss ata ubadlishe plug
2026-04-19 09:10:42
1
copyloom
BaNtu Soul :
Fundi mimi yakwangu ina miss hasa kwenye mlima inakua kama inashitukashituka hivi gear ikiwa inaishiwa nguvu kwenye baadhi ya milima inazima kabisa
2026-04-13 16:24:20
1
izackgamba
@OFFICIAL~Mtakatifu :
gepu linatakiwa size gani
2026-04-16 17:19:08
1
mahengetronics
MAHENGE TRONICS :
kwa nn usikatoe kabisa
2026-04-13 17:42:27
1
kevin.kevin5332
Kevin Kevin :
🥰
2026-05-18 12:25:44
1
nikonime4
JR TZ ♪v(*'-^*)^☆ :
😂
2026-04-28 06:15:32
1
To see more videos from user @doctorpikipiki1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About