@wachimbaji_visima1: Karibuni Sana @wells_company_limited_ tunatoa huduma zifuatazo ✅️upimaji wa maji kujua eneo lina mikondo ya maji iko mita ngapi ✅️uchimbaji visima virefu ✅️matengenezo ya visima Mawasiliano 0657710078 Tunapatikana dar es salaam mikoani tunatuma
WACHIMBAJI VISIMA TANZANIA✅
Region: TZ
Monday 13 April 2026 17:07:43 GMT
Music
Download
Comments
skoko :
nipo kitunda nataka miter 60 bei
2026-04-14 10:35:15
5
Debeauty Min market🌸 :
morogoro nane nane
2026-04-18 16:37:06
0
1172 :
mita 100 beingani
2026-04-18 16:01:10
0
Jackie :
Mwanza mpo au ni dar tu!
2026-04-15 06:31:30
0
daudysamuel345 :
vikindu mita bei gan
2026-04-21 22:21:15
0
Meli ya sumu :
mtwara mkuu bei gani mita
2026-04-16 19:08:25
0
abiudmzee :
Kibaha mita bei gani
2026-04-18 11:18:32
0
MBWANA RAJAB :
Same Kilimanjaro mnachimbaje??
2026-04-14 19:43:13
0
fatumaathumani3 :
singida mita moja sh ngapi
2026-04-15 15:47:50
1
Conso Kim :
Kiluvya ni sh ngapi kuchimba?
2026-04-15 13:26:09
0
Malkia lulu :
dar es salaam tuangoma bei gan
2026-04-19 05:51:58
0
Frankoo Fx :
Geita, ushirombo bei gani meter?
2026-04-18 08:32:58
1
𝗚𝗜𝗩𝗘𝗡 :
kwanini bei ya kuchimbia zinatofautiana kwa kila sehemu
2026-04-15 05:27:26
1
Kijana wa ovyo :
Habar boss Kaz
Mita beigani kwa hapa kibada
2026-04-16 14:33:22
0
Huxn Tangale :
Chanika shingapi
2026-04-15 15:59:09
0
miio@ :
mpo wapi
2026-04-15 16:50:45
0
Boss lady🧕 :
mkoani unaenda
2026-04-15 17:03:52
0
Malicha Guji :
How much
2026-04-15 04:53:59
0
Baraka sijillah :
pampu shingap?
2026-04-14 11:28:16
0
popote kambi :
Inshallah ipo mwaka najichanga
2026-04-14 18:38:17
0
Moses Simkanga :
Kivule Dsm mira moja Bei gani?
2026-04-15 08:12:36
0
Beatrice Susuma :
mnachimba kwa sh ngapi
2026-04-14 06:48:40
2
king boy :
Muheza mitaa mnachimba bei gani?
2026-04-14 19:35:24
0
bussiness_woman8 :
Mikoani mnakuja???
2026-04-14 11:20:21
0
hajaji yusufu :
ni pesa ngap?
2026-04-14 09:46:07
0
To see more videos from user @wachimbaji_visima1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.