@drmanyaunyau: ndugu yangu kama una dalili hizi ambazo nimezizungumza hapa chukua tahadhari mapema kwa sababu mkojo wako kama unakuwa unatoa povu kwa wingi basi ujue kwamba sumu imejaa mwilini mwako na figo zako zinapata shida sana jinsi ya kuchuja kwa hiyo kitu cha kukusaidia tumia maji kwa wingi sana na wakati mwingine pendelea kutafuta kitunguu saumu kwani kitakusaidia sana kuchuja sumu yako na damu yako kutembea ili kuweza kupata mchakato mzuri