ndo halii ntapambana nayoo jmn ..hii halii nimejaribu kuomba KAZI ..lkn bado sijakata tamaaa
2026-04-24 17:16:42
12
user2786915925908 :
that's ma current situation and I have neither friends nor anyone ni mungu tu😔
2026-05-17 11:42:08
6
Nay_stylish :
Yaaaan iyo historia yako ni mimi mtupuuuuu yaaan wewe ni mimi indirect WAY🙌🏼🙌🏼. from 2020-2022 since 2022 nikaondokaaa na mtoto wa Miaka 4 na mwingine wa Miez 2 until today sikuwah kugeuka nyumaaaa 🙌🏼 after kua homeless Dar until 2024 ndo MUNGU alinionekania but see me now 🙌🏼🙌🏼🙌🏼 seee GOD now yooooh watoto wangu wanasoma shule Nzuriiiii and Alhmdulilah nyieee MUNGU UYU ….. 😭😭😭😩
2026-04-14 15:30:48
99
Divannah😍😘 :
Huwez sema ukwel wa maisha yako na nisikufollow 😩
2026-04-15 12:04:01
42
norahmike509 :
Mqanamke aliye IMARA sasa historia yake ya nyuma sio rahisi hata kidogo🙌🙌
Hingera sanaa🙏🥰
2026-04-14 07:13:18
45
serena muarabu :
next
2026-06-15 07:30:50
1
maestro :
I love you very much we are the same story
2026-04-21 03:26:19
5
lugclassic :
Bora mtu akutese kuliko kutesa mtu maana Kuna jambo linakuwa baraka mbeleni
2026-04-14 06:43:18
34
Allu_tee :
Miezi miwili sasa nipo homeless‥.ila nakaribia kufika namuamini Mungu
2026-04-14 19:17:42
10
FAVOUR🇰🇪 :
mungu ni,mwema kila wakati🙌🙌🙌🙌 kunakitu nimejifunza
2026-04-16 21:08:57
5
Dor-Ice :
nimekuona siku ya kwanza nimekusikiliza
nimekuelewa na nimejifunza kitu kikubwa saana. be blessed 🥰
2026-04-14 10:35:29
16
Catherine ngeleja :
mungu akutunze kipenz maana umekua msaada mkubwa cna kwenye maisha yang
2026-04-14 10:38:51
5
user5356423771959 :
kidogo na mm inipate ni Mungu tu kaingilia jaman akanipaajira🙏🏿🙏🏿
2026-04-14 17:38:45
5
Jewish_Priest🎼🎵 :
Upo sahihii sana Dunia Haina huruma na mtu na watu haawana huruma na mtu...pole na hongera sanaaa
2026-04-21 16:27:37
8
W_dee🫰🏾❤️ :
nimelia 🥹 hii kama haijakukuta huwezi amini yaan 🥺
2026-04-16 17:52:46
6
vaileth beauty saloon :
jaman tupo wengi mim miez nane jaman
2026-04-24 14:00:15
5
Tooth savior :
Weuh 😳 umeyapitia Dada ndo maana uko strong hivi,Mungu azidi kukuonekania 💚