ni kweli kbs .nilikuw najiuliz mwanangu mbn mzr .lkn mbn ayo macho siyaelewiii .kumb manjan bwn.ila tumevuka slm kw uwezo wa mngu
2026-04-16 02:04:37
32
Mrs Adinan🥰 :
Inatibiwa na nini?
2026-05-04 11:18:58
4
Momy girl 🩷🦋 :
Huu ugonjwa sikia kwamtu nililazwa muhimbili mwez na siku nne Allahmdullah bint yangu yupo salama mpk sasa
2026-04-17 10:38:31
20
msr chriss🥰🥰 :
docta nini tena
2026-04-29 18:13:27
1
Rania sweet :
mtoto mzuri mashallah
2026-05-29 14:29:42
5
user2329502543018 :
tiba nini docta
2026-04-14 13:55:34
6
Junitor Kiplagat :
my baby had this problem but i thank God alipata matibabu,,inaitwa jaundice
2026-05-14 12:02:52
1
terrytrizah :
my kid had this jaundice
2026-05-12 12:54:02
5
Verah veroh Eroti :
Doctor nmekutafuta upatikani jameni
2026-05-21 17:57:19
1
Giftkim :
sitaki kukumbuka hii kitu, ndani ya phototherapy siku4
2026-06-14 19:37:45
3
Mum Ephraim :
mm wngu alikuwa hivyo nilimwotesha jua kila siku..Nashukuru mungu yuko sawa
2026-08-24 00:18:26
0
nunu beauty point :
inasababishwa nanini
2026-04-19 20:24:43
2
mama boys :
naomba like nirudi
2026-06-02 23:53:07
2
Strawberry🍓🍒 :
Wangu alikua hivo macho ya njano dr alinambia nijihimize kumnyonyesha kadri niwezavyo alhamdulillah amekua sawa sas
2026-04-17 08:56:20
10
Bwibo 77 :
Wangu amekuwa hivo siku nilimzaa akapelekwa nursery akashughulikiwa 3weeks now ako sawa
2026-05-03 20:24:42
6
mama champe :
😭😭😭my son died thru this
2026-04-14 06:36:12
8
Zurfa Mwikalo :
Ata ukiwai kuamka asubh xn muangalizishe kwenye jua like la asubh xn wik moja analud kwenye Ali yak
2026-04-17 17:16:03
7
sanifu networks :
mine was this after birth and the only solution i was given by the doctor was to breastfeed the baby more frequent and taking her out in the sun especially morning and now we are almost 2years and very health
2026-04-15 10:09:57
13
bethar97 :
acheni kula machenza mkiwa na mimba jamani hii ndo sababu
2026-07-03 22:01:08
0
estheranastahili :
nimagojwa gani. doct
2026-06-04 11:15:12
0
Sarah .fiston :
tafadali tuba ni nini?
2026-06-30 23:08:41
1
25072000rani :
ikiwa mjamzito kunywa maji ya glucose japo mara Moja kwa siku kwanzia miezi saba mtoto hapati hii manjano
2026-05-20 03:58:42
0
Sarah :
manzano ndo nini docteur
2026-06-26 21:46:45
1
Merry :
wangu nimempoteza juz alikua hivhiv😭😭😭
2026-05-15 04:24:13
2
mama 6 boys ❤ :
manjano machoni au kistaili cha mdomo na macho anavyo vifanya maana ata mimi mwanangu anafanya hivyo
2026-04-14 08:42:35
3
To see more videos from user @beya.na.watoto, please go to the Tikwm
homepage.