@tuongee.afya: Dalili za UTI (Urinary Tract Infection) UTI ni maambukizi ya njia ya mkojo, na dalili zake zinaweza kujitokeza kidogo au kikubwa, ikianzia kwenye dalili za kawaida hadi za hatari. Dalili kuu ni: 👉Kutoa mkojo mara kwa mara (frequency) na mara nyingi haja ni ndogo. 👉Kuwashwa au kuumiza wakati wa kukojoa (burning sensation). 👉Mkojo wenye harufu mbaya, mweupe au wenye damu kidogo (cloudy or bloody urine). 👉Maumivu au shinikizo chini ya tumbo (pelvic pain) 👉Kutokuwa na nguvu, kuumwa mwili (fatigue), au homa kidogo. 👉Kuhisi haja ya kukojoa mara moja baada ya kumaliza kukojoa. > Wakati mwingine kwa wanawake, maambukizi yanaweza kupelekea maumivu ya nyuma (lower back pain) ikiwa maambukizi yapo hadi kwenye figo. MADHARA YA UTI Kama UTI isipotibiwa husababisha, 👉Maambukizi ya figo (Kidney infection – pyelonephritis). 👉Kuvimba kwa figo na uharibifu wa muda mrefu. 👉Upungufu wa kinga ya mwili kutokana na maambukizi ya mara kwa mara. 👉Kupata maumivu ya mara kwa mara ya njia ya mkojo na matatizo ya kukojoa. 👉Hali mbaya zaidi: Sepsis (maambukizi makubwa mwilini) ambayo inaweza kuwa hatari kwa maisha. KUTUMIA VIRUTUBISHO SAHIHI NA LISHE BORA KUNASAIDIA: a) Kuimarisha kinga ya mwili Virutubisho vyenye vitamini C, D na Zinc vinasaidia kuimarisha kinga ya mwili, hivyo mwili unaweza kupambana na bakteria wanaosababisha UTI. b) Kuongeza unyevu wa mkojo Kunywa maji mengi na virutubisho vyenye hydrating agents husaidia kuondoa bakteria kutoka kwenye njia ya mkojo. c) Kupunguza uvimbe na maumivu Lishe yenye antioxidants (vile vya matunda na mboga za majani) na virutubisho vya anti-inflammatory husaidia kupunguza maumivu na uvimbe unaosababishwa na UTI. d) Kusaidia afya ya figo na njia ya mkojo Virutubisho vya probiotics husaidia kuimarisha bakteria wazuri katika mwili, hasa kwenye njia ya mkojo, na kupunguza uwezekano wa maambukizi ya mara kwa mara. Lishe yenye fiber husaidia kuondoa sumu mwilini na kuboresha utendaji wa figo. e) Kuondoa harufu mbaya na mkojo wa rangi isiyo ya kawaida Virutubisho vya detox na kunywa maji ya kutosha husaidia kuondoa uchafu na bakteria. Kupata Virutubisho kutoka Kwetu Ili kumaliza tatizo. Call/Whatsapp 0750933014 #afya

Tuongee Afya&Fursa
Tuongee Afya&Fursa
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 April 2026 05:48:22 GMT
33605
400
22
62

Music

Download

Comments

christina_mamy
Christina :
Samhan my mwenye vidonda vya tumbo anaruhusiwa
2026-10-20 10:06:23
1
neemgo2
Grace :
anakunywa ama
2026-09-15 16:15:36
2
winifrida.robert0
Winifrida Robert :
8
2026-09-17 08:28:25
0
sadaaliomar
Alsaad .2026 :
naomb namb yk kuna kit ntk unisaidiee
2026-05-28 14:40:56
1
winifrida.robert0
Winifrida Robert :
89
2026-09-17 08:28:26
0
winifrida.robert0
Winifrida Robert :
8888889
2026-09-17 08:28:24
1
winifrida.robert0
Winifrida Robert :
89
2026-09-17 08:28:24
1
mazroncollection
Mazron-collection :
Haileti mimba
2026-05-25 10:36:36
4
user9614749714813
Bad girl 💔🥷 :
Nimekutafuta kukushukuru dada maana nimesumbuliwa na miwasho miez 2lakini nimetengeneza hii dawa nimetumia siku 2 tu niko sawa kabisa ubarikiwe 🥰🥰
2026-05-05 05:34:46
3
kurwa.john4
Kurwa John :
na pid dear
2026-04-16 20:03:38
1
mispinah
miss :
samahani hii dawa mjamzito anatumia pia??
2026-06-07 08:51:30
1
To see more videos from user @tuongee.afya, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About