@ashmar_quotes: UKIMYA WA MWANAUME. Usimdharau mwanaume anayejitahidi, maana nyuma ya ukimya wake kuna mapambano makubwa. Wanaume wengi hulia ndani kwa ndani bila machozi kuonekana wakibeba maumivu yao kimya. Mwanaume anahitaji kueleweka zaidi kuliko kuhukumiwa. Kama umepewa nafasi ya kuwa furaha yake, usiichukulie kawaida. Mthamini, mjalie upendo wa kweli na kuwa utulivu wake na si maumivu kwake.#fypage #contentcreator #follwmypage #trendingvideo #everyone @TikTok @tiktok creators @AzamTV