@living_magic_store: Dunia sio salama tena kama ilivyokuwa zamani enzi za mababu zetu#entertainment #story #tanzaniatiktok #kenyantiktok🇰🇪 #entertainment

ZANZIBAR COSMETICS
ZANZIBAR COSMETICS
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 14 April 2026 09:42:44 GMT
737908
40454
1866
10592

Music

Download

Comments

levinah68
levinah :
huwez ongea point hivyo nikunyime like
2026-04-14 11:06:35
543
badgllks
Sophey 🦋 :
Acha niseme tu kunamuda tunarindwa na Mungu maana kunawatu huwa atufanyi chochote nabado tuna pita salama 🙏🏽🙏🏽
2026-04-14 12:25:37
889
perfectoutfitstore
Perfect outfit store 👗 :
Mimi mpaka mashuka huwa nabadilisha 🙌
2026-04-14 11:05:02
317
toto_fina
Toto_fina :
hata ukienda kwa bwana mmh mwambie ht rafiki
2026-04-14 11:39:34
232
annie.tito
Annie Tito :
Wachache wanakuelewa, but deeply it's a perfect presentation 🤝.
2026-05-31 18:44:46
6
queenkazury
Queen 🥰🦋 kazury💓🦋 :
umeiamsha akili yangu kwa ukubwa sanaaa
2026-05-27 05:48:42
21
official_garner24
Official_Garner24 :
haya ndo matumizi sahihi ya mitandao ya kijamanii sio matumizi ni matumizi sahihi
2026-04-15 17:34:49
76
user8007343895758
vumi1975 :
Asante kaka pokea maua yako
2026-04-15 04:55:05
55
felicianonyango
felicianonyango :
Barikiwa sana kwa shule nzuri. Huu ndiyo upendo wa dhati.
2026-05-26 03:27:24
14
jowelleriesbyrahab
R-LUXE :
Mtu mmoja alike comment yangu jamani ili niweze kurudia tena apa 😥😥
2026-04-15 22:45:57
52
atugonzakishesha1
atugonzakishesha :
Ni upendo tu ulio kusukuma kusema hayo. barikiwa
2026-05-05 17:13:51
26
dastanimashina
dastanimashina :
kaka nimeku like kwa umpendo wako kwetu umeonge mambo ya msingi kabisa, ww ni mtu muhimu sana kwenye jamii, MUNGU wa mbinguni akubarik.
2026-05-06 10:25:30
18
florakhan00
florakhan :
duuuh umeongea post sana ubarikiwe mdogo wangu
2026-05-16 07:32:55
6
user580447406181
last born :
huwezi ongea point hvyo halafu nisikufollow
2026-05-11 07:09:12
8
stranger95082
Stranger :
umeongea ya maana sana. Shukran bro
2026-05-08 20:45:23
11
ester.katonkola
Ester Katonkola :
UNAMAONO SANA MUNGU AKUTUNZE
2026-05-08 14:43:44
5
user3839819486781
FredB🙏 :
nime kwelewa kabisa master Wangu 🙏🙏🙏
2026-06-03 19:31:00
5
rahma.ali897
Rahma Ali :
Asante sana
2026-04-27 20:08:52
5
angelzabron1
Angel zabron :
Jaman kaka unatumia product gani mbona ume glow sana
2026-04-14 10:31:04
153
esperancekasema
Esperance Kasema :
kweli kabisa
2026-04-15 10:34:14
6
shaju7412
shaju :
umeongea point shukran broo
2026-05-10 19:02:20
5
cuteiddah1
cuteiddah :
umeongea point broo
2026-04-15 14:14:23
13
nassy3317
Nassy🎶🫶🏻🫵🏻 :
Mm bila Mungu sitoboi😩 yaan hamuwez kunielewa mm n Mungu tu 🥺Asante Mungu wangu kipenz muumbaji wa moyo wangu Mungu wangu🥰
2026-04-15 16:22:55
31
sweetmangi05
Zuuh/freya@one2 :
umeongea vitu point sanaaa yaani , Asante sana kwa kujali watanzania wenzako
2026-04-29 19:45:41
8
babyrazzack5
Miss ninnah :
Umenifundisha kitu kingine kwenye maisha yangu, asante bro
2026-04-14 18:30:17
47
To see more videos from user @living_magic_store, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About