@maky_skincare: Amlactin inafanya kazi gani? Ina ujazo wa mils ngapi? Inauzwa shingapi? Sikiliza clip hii hadi mwisho POC>> Lactic Acid inapatikana katika kundi la Alpha hydoxy Acids (AHA’s) na sio Beta hydoxy Acids (BHA’s) kama ilivyotamkwa katika clip hii 🙏🏾tanzaniantiktok🇹🇿 #skincareviral #fypシ゚viral #trending #congolaise🇨🇩