tukitoroka mnasema cc wafanyakazi n wabaya jmn jmn Allah atunusuru jmn
2026-04-15 03:51:38
177
Johari six :
maisha tunayo pitia mungu ndo anae jua
2026-04-15 02:46:20
118
๐น๐ฟItโs Jenny๐ฆ๐ด๐ฒ :
Me nimetoka lakin sijutii hawa watu makatili sana ๐
2026-04-15 01:52:21
90
Miriyam :
Mwenyezi mungu tupunguzie mitiani yarabi ๐คฒ
2026-04-15 04:16:20
151
user71761281054120 :
hiyo ndoo Oman niulize Mimi nilichi myaka mitatu niliyawona afazali sudia mungu amenijaliya hata nayichi kidogo alhamundulillah warrabu siwatu hata ki
2026-04-14 23:16:06
45
SAMโ๏ธ๐ฆ66 :
Sasa unaomba msamaha wa nini
2026-04-15 06:03:31
81
season :
๐ณ๐ณ๐ณ๐ณwe go through alot over here,may Allah protect us all
2026-04-15 02:47:26
55
Nairah hamis :
๐ณ๐ณ naogopa me na ndy kwanz na 2 months๐ญ๐ญ
2026-04-20 11:18:26
7
Sakinah ๐งโค๐ :
eeeh mungu wanguuuu Allah Ampe kaul thabit mama ako ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ
2026-04-15 09:21:41
24
Halima Oman ๐ด๐ฒ๐น๐ฟ๐ชโค๏ธ๐ :
Pole kipenzi changu Mwenyezimungu akulindie mam yako apate kupona ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ
2026-04-17 09:46:13
9
wardah bakari :
Duuu pole sana dada
2026-04-14 17:44:44
26
dida :
wema sio woote na wabaya sio woote jaman maisha haya tunatafuta kwa dhik sana
2026-04-15 06:03:38
13
HAONGA OG :
mungu atutetee jamani pole sana kipenzi.
2026-04-15 06:27:45
8
marryamnamkukura :
unaomba samahani ya nn tani sijakuhafaham hapo
2026-04-15 06:36:57
7
Massy Rich ๐ถ๐ผ๐ฅ๐ช ๐ป โ :
Pole Sana MUNGU akusimamie ๐
2026-04-15 08:30:04
6
power house :
Tunaomba serikali iingilie Kati dada zetu wanateseka Sana uarabuni
2026-06-02 21:36:14
5
Tausi@Rashid :
Pole sana ndgu asiejua maisha yahuku atakulaumu lkn mungu ndiyo mjuzi ๐คฒ
2026-05-27 16:47:58
8
zuena mvungi :
Aki pole sana๐ญ kwa mama wainalilah wainailahii rajiun mungu kuna wenzetu wa nateseka mungu tusaidie
Alaaaa
2026-04-15 05:42:11
13
Mrs joombiโค๏ธโค๏ธ :
unaomba msamaha au msaada dada
2026-04-15 20:34:17
7
ANETH WISTON :
kwa mimi nilio pitia MUNGU anajua ila saiv nimepata nyumba kidogo afadhali lakin sina ham na Oman MUNGU asimame na sisi
2026-04-15 04:26:25
26
Mume wangu :
KWA STORY HII,KOSA LAKO NI LIPI SASA?
2026-04-15 03:39:06
49
Love Rowan :
Uyu dada yupo wapi
2026-04-15 01:00:35
36
Pilly :
unaomba msamaha wa nini
2026-04-15 11:48:14
14
salhaa :
Allah Akufungulie mianga yote iliyokua imefungika..Jinsi ulivyoongea nmehisi uungwana ndani yko. kuwa tayari kupokea neema na baraka za Allah. Allahumma Aamiin Aamiin Aamiin
2026-04-15 05:46:16
22
mama kapiriton :
yauma aki mamaa pole๐๐๐
2026-04-15 04:11:52
9
To see more videos from user @madamree227, please go to the Tikwm
homepage.