@we_sell_essentials.tz: Tobi Multi-Function Steam Cleaner (Model TB-961) Safisha nyumba yako kwa nguvu ya mvuke (steam) bila kutumia kemikali! 💨✨ Faida zake: ✔️ Husafisha kwa high-temperature steam – huua vijidudu bila kemikali ✔️ Inafaa kwa tiles, jikoni, bafu na sehemu ngumu kusafisha ✔️ Huondoa mafuta, uchafu mgumu na bacteria kirahisi ✔️ Rahisi kushika na kutumia (handheld design) Sifa: ✔️ Power: 2500 Watts – nguvu kubwa ya usafi ✔️ Tank: 1.6L capacity – matumizi ya muda mrefu bila kujaza mara kwa mara ✔️ Handle-controlled steam – unadhibiti mvuke kwa urahisi ✔️ High-pressure steam kwa usafi wa kina 💯 Fanya usafi wa kisasa, salama na wa haraka nyumbani kwako! 📦 Wahi kuagiza sasa!