@kevychazy_: @gladness_kifaluka ametuambia hajawahi kugombana na @dullvani ila kupishana kama binadamu ni jambo la kawaida pia anajua kama #dullvani anafunga ndoa na kwenye group la Kitimtim wanalijua hilo jambo. Full interview ipo kwenye youtube channel ya #chazymedia #tiktokindia #tiktokviral #fyp