asante sana prophète nime tumiya chumvi na mate nime pata kazi vitu vyengu kwa sasa ivi vina endaka mungu akubariki prophète
2026-04-15 12:13:12
15
Alice Mwende🥰 :
Mungu nisaindie namini kwako hakuna kisichowenzekana Amen 🙏🙏🙏🙏
2026-04-20 04:32:59
34
Vero :
Mungu wngu nisaidie nisije nikaingia kw majarbu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Amen
2026-04-29 19:24:41
14
Pretty Felix :
mganga
2026-04-21 10:39:04
7
Zayrah❤ :
Hello 👋 kondela hapa sikiliza wimbo mpya unaitwa ZAKHAR.🎶 🎶 🎵 (U my sugar ..u my zakhar😂😂😂😂)🎶 🎵 🎶
2026-05-05 21:40:18
5
Browngirl@234# :
huo n uchawi na mwenyekumshirikisha mwenyezi mungu amelaaniwa.pastor mzima badala upambanie kuhubiri nenobla mungu .waendakuhubiria mambo n nywele n kioo