pastor nalia, Mungu Azidi kukulinda, natamani cku moja nije nikuone live, Kuna kitu umenifunza kujipa moyo, Amina
2026-06-01 16:33:26
18
user J P M :
Real mathematics 4+4 = 6
2026-04-19 06:41:28
99
Sophy Choddo :
Dah unaongea hvyo mimi nalia🥹🥹🥹
2026-04-20 04:14:28
89
meshack madaha :
nimeelewa baba alikuwa na magoli 2 na mama magoli mawili wakacheza mech wakapata 2 Hawa wawili wakigawana chukua 1 na mama 1 mama atakuwa 2+1=3 baba kachukua 1 ukiplus 2+1=3 wote kwa jumla 3+3=6
2026-04-26 15:16:43
39
Judith Mwangomile :
mbona kama nataka kulia😒😒😒
2026-05-31 16:39:07
5
4🅚 🅻🅸🅵🅴🫶🧬👑 :
PACHA WA KIKWETE ✌️✌
2026-04-30 15:24:33
27
ms.herty025 :
Zingatia tiiiiii 😂😂😂
2026-05-11 22:59:01
13
Nia_ :
wajaluo tumekukosea wapi sasa
2026-05-27 22:21:10
7
comrade :
iyo hesabu kama hujui set na mambo ya intersection utabak😁
2026-04-25 10:05:06
29
faith :
me nae na upande wa baba mmhh
2026-04-22 22:10:27
11
MTURUKI from singapal :
ni mimi jamani na mimi nifundishe hayo masomo jamani
2026-04-24 02:13:23
12
Aisha jumah :
Hata sina neno la kuongea naona halitaweza kuelezea mguso uliopita moyoni kwangu...neno moja tu,ALLAH aendelee kukushika
2026-06-03 04:11:24
6
alfaelias146 :
mgogo mwenzangu unakontent za kiume san
2026-04-20 16:29:37
14
feith💋Sizya♏ :
haya mambo yapo sana kwenye familia nyingi
2026-05-25 19:32:28
10
Manzi Dam :
Story kama yangu😞😞😞😞😯😯
2026-05-26 15:01:09
6
light🦋ummy🦋 :
mungu anamakusudi makubwa kwenye maisha yetu tusikate tamaa
2026-05-11 16:12:21
11
official man kevooo snr :
hapo wawili wa baba
wawili wa mama
wawili wa baba na mama.
is equal to = 6
2026-05-08 10:45:33
10
Mrssubira Shauri :
pole jamani
2026-04-19 11:02:09
12
Snapdragon :
si watot 8 jmn
2026-04-20 04:14:04
11
MR :
ety siyo mweus nanimweusitii
2026-04-19 13:06:34
9
Renfrida Raphael :
Pole sana kwa yote, lakin pia hongeraaa sana🙏🙏🙏
2026-04-20 05:54:20
7
Linus Mkama :
Njia za Mungu ni vigumu sana mwanadamu kuzijua 🙏
2026-04-19 07:15:04
7
Samira Msangi :
😂🤣 hap nimekuelew mama 2 baba2 baba na mama 2 ko jumla 6
2026-04-19 06:46:58
8
To see more videos from user @stevenjackovackmatengo, please go to the Tikwm
homepage.