ambao tunamkumbuka magufuriiii gonga like๐๐๐๐๐
2026-04-29 11:29:33
994
๐๐๐ :
Eeh MUNGU ikiwa tupo hapa kwa kusud lako bas ww wajua hatma yetu..Tunaomba utupe mwisho mwema ๐คฒ๐
2026-04-29 06:12:29
339
feisali๐ซ๐ข๐ :
kama unamkumbuka magufuli gonga like ๐
2026-05-07 17:06:27
161
Safia Khamis :
mimi nampenda sana samia hajauwa samia.
2026-04-29 05:09:14
32
Junior jr :
nimeota magufuli kafufuka ๐๐๐
2026-06-05 13:46:06
6
๐ธ๐ฃ๐ ๐ช๐๐๐ :
Rais wangu samia nampenda sana ntakua nae begq kwa bega
2026-05-27 13:11:23
12
popah WTF :
r.i.p baba tumekumis baba tuokoe baba๐๐
2026-06-19 03:28:43
5
HasaBoy :
Mungu okoa nchi hii
2026-05-28 15:08:30
12
user7725743091278 :
hadi nimetokwa na machozi inasikitisha sana
2026-04-15 08:53:32
72
Idrisa Hassani :
tusiompenda bb kizee tujuwane
2026-05-27 07:47:27
35
King Elias ๐ :
tunao mkubuka magufuli tujuwane
2026-06-17 04:55:53
5
Elizabeth :
ee mungu tulinde waja wako๐น๐ฟ๐๐๐๐๐คฒ๐คฒ๐คฒ๐คฒ
2026-04-15 13:02:20
54
Ashanti๐ฆ :
Mungu tunaomba utulinde Tanzania yetu bila huruma yako, bila ww tutaangamia๐น๐ฟ ๐คฒ
2026-06-04 13:28:25
6
Hamidu Nasibu :
ewe mungu tusaidie
2026-05-13 13:53:29
5
frazia :
hakika tunaumia sana
2026-05-08 12:09:25
8
mina ๐ฆ๐ฆ๐ฆ :
Aloshindwa kusoma mpk mwisho ihii Kama mm gonga like
2026-05-25 11:17:00
8
Batistutaaaaa :
Mwenyezi Mungu atuongoze kipindi hiki kigumu kwa Taifa letu
2026-05-24 18:00:23
6
Lizzy Tango :
tupo hatarini
2026-05-12 20:09:25
7
๐ฅฐmrs omyโค๏ธ :
eeh mwenyezimung hakika wewe ndio uliotuleta duniani,na wewe ndio unaetuchukua๐๐ nakuomba mungu mimi na huyu anaesoma coment hii utupe mwisho mwema๐คฒ๐คฒ
2026-04-29 16:32:42
24
Swax Hussein :
mungu tunakutegemea ww maan pekeetu atuwez usitufiche uso wako tunaangamia ๐ฅบ๐ฅบ
2026-04-30 07:24:06
15
nimeachwa Tena๐ :
๐ญ๐ญ๐ญmungu angali atima yetu inauma sana
2026-04-29 06:04:35
7
danieli :
nikweli hatuna kiongozi
2026-04-15 15:40:56
18
@de nice :
nisiwafiche nampenda sana Mh. Raisi
2026-04-20 17:55:52
16
agyโค๏ธ๐น๐ฟ :
Mungu tusimamie ๐ญ๐ญ๐ญ๐คฒ
2026-04-15 15:57:47
25
To see more videos from user @tuna.deni.la.2025, please go to the Tikwm
homepage.