@dullah.official1: Nilikaa nikiamini muda utabadilisha kila kitu… kumbe muda ulinifundisha ukweli ambao nilikuwa nakwepa. Si kila anayekaa na wewe anakuchagua. 💔 Hashtags: #MaumivuYaMapenzi ealityCheck #BrokenHeart #UkweliMchungu #LoveLessons #mtotodullah