@healthyfity1: MTOTO WAKO ANAKOROMA USIKU AU ANAPUMUA KWA MDOMO MUDA WOTE? USIPUUZE HILI! 😳 Huenda si mafua ya kawaida… inaweza kuwa ni ADENOID ⚠️ 🔍 ADENOID NI NINI? Adenoid ni nyama ndogo laini iliyopo nyuma ya pua, juu ya koo, inayosaidia mwili kupambana na vijidudu 🦠 hasa kwa watoto. ⚠️ TATIZO HUANZA LINI? Inakuwa hatari pale adenoid zinapovimba au kukua zaidi ya kawaida 🚨 DALILI ZAKE NI HIZI: 😤 Kupumua kwa shida hasa usiku 😴 Kukoroma sana 👄 Kupumua kwa mdomo muda mwingi 👃 Pua kuziba mara kwa mara 💤 Usingizi mbaya au kukatika 🦻 Kupungua kwa kusikia (wakati mwingine) Wasiliana na HealthyFit clinic kwa ushaur zaid.. #adenoiditis #tonsilitis #tonsilstones