@toto.smarttz: KAMA MNAZITAKA MALI MTAZIPATA SHAMBANI shairi pendwa la kiswahili lenye mguso, hisia na Mafunzo. #kenya #tanzania #fypviral #swahili

Toto smart
Toto smart
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 April 2026 11:04:14 GMT
542573
30309
794
3268

Music

Download

Comments

marsh_mallow1519
marshmallow :
walokumbuka enzi za primary like apa
2026-04-15 14:26:59
1023
dmorice
Plush Hermit ☀️🦄🏅🎀🔥🇹🇿 :
Waliosikiliza shairi hili huku wakiimba like hapa
2026-04-15 16:24:15
674
user6249928340044
NAYRA :
tulipo kisoma darasa la 5 mpo
2026-04-15 16:12:49
214
kimaro549
Being me ✨💫 :
daah nimekumbuka mbali sana mpka nimelia ,,inanikumbusha mbali na watu wangu wa karibu ambao kwasasa awapo tena kwenye hii Dunia😔😔😢
2026-04-16 12:52:11
123
madamhope02
Hope Beauty Shop ✨ :
Hiki tulio imba tarasa la 3 njoo hapa 🥰
2026-04-15 18:35:17
85
immakavula
immakavula :
nimeipend hii wa 2000 hawez kuelewa
2026-04-15 18:50:41
30
angai96tv
ANGAI :
walio imba hii nyimbo primary gonga like hapa
2026-04-18 18:13:43
37
user181683011244
cababy linah! :
darasa la nne 2017 shule ya msing tumain
2026-04-16 05:11:10
6
user1839522563579
Frola Billa :
shairi langu pendwa sana hiiii 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-04-15 19:52:50
8
aisha_allycute
ishertz :
kama umeimba like hapa🥰🥰🥰
2026-05-03 17:41:35
10
user94150022086545moreen
user94150022086545❣️momo💥💥💥 :
jman walio kumbuka ssule ya msingi gonga likes
2026-04-15 20:00:32
30
fungesaluwaichugu
FUNGE SALU WAICHUGU :
Tuliokumbuka hili shairi tumeimba primary school tujuane kwa wingi walau tufikishe like 1000
2026-04-17 09:26:46
27
petromasiko
Petro masiko :
hongera mtunzi nakumbuka mwaka 2005 nikiwa darasa la nne
2026-04-18 17:33:55
18
cutesophy123
sophy charles :
Nimekumbuka mbali jamni
2026-04-18 10:38:01
10
wida_de_boss
The boss lady :
Nimekumbuka mbali sana jamani 🥹
2026-04-15 19:35:06
13
boaz.sabiuss
gueye@06 :
weka MAMA WA KAMBO NI MAMA please 🤲🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
2026-05-01 12:56:24
6
christinasemeni
Christina Semeni :
duh umenikumbusha enzi zile primary 🥰
2026-04-16 09:49:55
9
user3587431775396
user3587431775396 :
haya mashairi hayapo tena mashuleni jamani
2026-04-20 07:50:59
6
ambakisyebaraka
Ambakisye Baraka :
isee kitambo sana. hongera kwa ubunifu
2026-04-16 09:44:13
11
big_lee360
BigLee :
Ni vile tu Bongo bahati mbaya, hii poem ilibidi ipewe tuzo kama shairi bora la muda wote, 🙌
2026-04-18 07:58:02
12
clementyohana37
Clement Yohana :
class 4 iyo mwaka 2001 Tabora usagari kijjn kabisa!
2026-04-19 07:37:20
6
junior_jr065
Jr :
𝑛𝑖𝑚𝑒 𝑘𝑢𝑚𝑏𝑢𝑘𝑎 𝑚𝑏𝑎𝑙𝑖
2026-04-15 19:38:02
6
user52815077013986
Fatma king :
dah Asante sana umenikumbusha mbali sana
2026-04-15 20:05:43
9
jardon.js
Jardon Js :
sema hyu mtunzi wa shairi hili aliwaza mbali sana,,nilisoma na kuimba ili shairi nikiwa mdogo nikifurah na kucheza ila nikiwa mkubwa naimba kwa hisia nalia na kuhuzunika
2026-04-18 15:22:14
15
sherryothuman72
moon flare :
wanaosema ameimba kwa sauti nzuri gonga like
2026-04-18 18:02:39
7
To see more videos from user @toto.smarttz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About