@joackagrovet: WATER SPRINKLER | VIFAA VYA KUMWAGILIA MAJI | VIFAA VYA KURUSHA MAJI | VIFAA VYA UMWAGILIAJI Kwenye video ni JET WATER SPRINKLER yenye uwezo wa kurusha 50m kwa mzunguko Call Text WhatsApp: +255 712 253 102 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet @joackanimalclinic Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm) Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar salaam na Bagamoyo WATER SPRINKLER ni kifaa maalumu chenye uwezo wa kurusha maji katika mtindo wa matone matone. Vifaa hivi vinatumika katikati shughuli mbalimbali za uwagiliaji wa mimea kwenye kilimo na majumbani. Watu wenye bustani/garden za majani au maua majumbani wanapenda sana kutumia hivi vifaa kwajili ya kurahisisha kazi ya uwagiliaji. Ukiwa na sprinklers huna haja ya kuajiri watu wengi kwajili ya kuwamwagilia bustani au mimea yako. Faida ya hivi vifaa ni kwamba vinarahisha sana kazi lakini kubwa zaidi vinaokoa gharama. Faida nyingine ni kwamba vifaa hivi vinapunguza upotevu wa maji usio na msingi, ni tofauti kama ytatumia mpira tu, maji mengi hupotea. JOACK Company LTD tunauza sprinklers za aina mbalimbali na zenye uwezo tofauti tofauti. #watersprinkler #vifaavyakumwagiliamaji #vifaavyakurushamaji #vifaavyaumwagiliaji #umwagiliaji kifaachakumwagilia splinkler kumwagilia kilimochaumwagiliaji irrigation sprinklerirrigation mifumoyaumwagiliaji Office zetu zipo @TegetaWazohill ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa Simu: +255 712 25 31 02 (WhatsApp) +255 692 43 02 63 Email: [email protected] YouTube: https://youtu.be/UxLyLqHtfnw Website link: https://www.joack.co.tz Google location: https://maps.app.goo.gl/C2XiH7ppmYe6pq7Q9 joackcompany micheyamipera micheyapapai maembe limao ndimu kilimotz tunauzamiche migomba ndizi komamanga dodoma tanzania🇹🇿 tanzania mbogamboga bustani garden JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo

JOACK AGGROVET
JOACK AGGROVET
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 15 April 2026 14:14:59 GMT
433775
5031
249
798

Music

Download

Comments

sendoborakariakoo
Sendo Bora Kariakoo :
Ada ya Mamangu haiwezi enda bure, Njooni niwape shule kidogo 🤌🏾☺️Hesabu zinasema 180° + 180° = 360° Lakini hapo kwenye kumwagilia ikiwa hivo kuna upande wa 2° patalowa zaidi kuliko sehemu nyingine. So inabidi iwe 179° kwa 180° ili kupata Duara litakalolowa kwa usawa.. Asanteni🤗😁
2026-04-15 16:53:41
36
joackagrovet
JOACK AGGROVET :
BEI NI 280,000 KWA MITA 50
2026-04-17 07:38:03
10
user7109744194614
WACHACHE INVESTMENT :
mnapatikana wapi
2026-07-10 15:41:32
1
chrissnyange
𝐂𝐡𝐫𝐢𝐬𝐬𝟒𝐇 :
Uwaambie kabisa ni lazima Utumie Pump ili sprinkler irushe maji
2026-04-16 11:17:38
5
walifawalifa426
walifawalifa426 :
pia kilimo cha nyanya vipi hiyo mashine inafaa kwa matumizi ya kilimo cha umwagiliaji kupitia nyanya?
2026-06-28 09:08:40
1
kelvin.osea
Kelvin Osea :
sasa maji ya toka wapi
2026-06-09 06:23:37
1
kenedyzabro
Kenedy Zabro :
inauzwa bei gani
2026-06-21 15:12:00
1
mrgeneral9232
user1146799739171 :
shingapi iyo
2026-07-11 12:20:27
1
ngorongorotza
SERENGETI :
nahitJi ya mita 400
2026-07-10 09:54:38
1
soudmohamed965
soudmohamed965 :
began
2026-04-30 13:42:27
1
davidraya355
Jofrey@PhCostantin :
Je inatumia Umeme.?
2026-06-12 07:41:55
1
kababaye63
KABABAYE :
complete au sprinter pekee
2026-06-04 12:42:43
1
mrogmensfashion
Mr OG :
Hii inahamisha mto🌝
2026-04-28 11:44:13
1
k.muge
barnaba :
inuzwa bei gani
2026-05-21 03:30:01
1
user34214652908536
user34214652908531 :
bei
2026-04-27 16:38:02
1
samuelmoses175
Samuel Moses175 :
Inauzwa bei gani
2026-06-21 20:19:14
1
msapauloenoki
mussapaulo :
zinapatikana wapi
2026-06-13 09:42:19
1
safaribatholomeo
safaribatholomeo :
pump + mashine + pipe = shilingi ngapi?
2026-05-31 03:02:15
0
josephchaula11
josephchaula217 :
naipataje
2026-05-29 04:39:07
2
tausiramadhani803
Tausi Ramadhani :
sh ngapi iyo mashine
2026-05-19 17:09:34
1
angelanasarinasar
Angela nasari :
vip naweza kupata
2026-05-21 08:41:32
2
nzeyalema
nzeyalema :
bei Gani
2026-04-28 16:04:20
1
sabinamgao
BINTI pekee na YESU :
bei
2026-04-20 01:34:15
1
captpn
Capt PN :
Acha story tupe bei
2026-04-26 11:08:53
1
adamumlewa
adamumlewa :
bei gan
2026-04-28 14:54:14
1
To see more videos from user @joackagrovet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About