@theresiajames1: Namuungamia Mungu Mwenyezi, nanyi ndugu zangu, kwani nimekosa mno kwa mawazo, kwa maneno, kwa matendo, na kwa kutotimiza wajibu.. nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana. Ndiyo maana namwomba Maria mwenye heri, Bikira daima, Malaika na Watakatifu wote, nanyi, ndugu zangu, niombeeni kwa Bwana Mungu wetu… Mungu mwenyezi atuhurumie atusamehe dhambi zetu atufikishe kwenye Uzima wa milele.. AMINA🙏 #catholic #nasadiki #fyp #catholictiktok
THERESIA JAMES1
Region: TZ
Wednesday 15 April 2026 14:36:37 GMT
Music
Download
Comments
cute Stella :
Ameen
2026-05-29 07:25:11
1
cinther-bella🦋🎧🛍 :
Bikira Mama wa Mkombozi kipawa✝🙏
2026-04-15 15:59:00
33
nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana ameni
2026-04-17 18:51:21
12
Vallentino Jr :
siwezi kukunyima like dada hii ni toba kubwa saana
2026-05-12 09:44:12
19
sevdac09 :
Nimekosa mimi, nimekosa mimi nimekosa sana nihurumie🙏🙏
2026-04-16 20:06:29
5
Ree Collection :
Nimekosa mimi nimekosa sana
2026-04-15 21:32:21
8
Ilham 🥰 Ilhana❤❤ :
nimekosa san Ee Mungu wangu nihurumie🙏🏻
2026-04-18 17:03:44
8
Janeth Emmanuel :
nimekosea mm nimekosea sana mungu nihurumie
2026-04-16 08:03:06
9
Suzana Thomas lutema :
amina🙏
2026-04-16 10:01:53
6
Mariam mavunde :
amina amiana
2026-04-16 07:21:48
6
jh 0627528052 :
Amina
2026-04-16 18:46:49
1
WIZZØH D ERIC :
Amina
2026-04-16 15:40:06
1
Elisabeth :
amena
2026-05-18 10:55:28
1
Benester :
Amen
2026-05-05 06:50:21
1
penina :
amen🙏
2026-04-15 20:44:10
5
Odeta Josephat :
amina🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-04-16 13:22:50
1
rehemabenard147 :
amen
2026-04-16 16:57:12
1
Miriam Chebet :
Amina
2026-04-16 17:23:38
1
Neema Athumani :
Amina
2026-04-16 12:52:37
1
peterkeppa2 :
Amina
2026-04-16 16:23:19
1
Mum Kyle favoured🙏 :
nimekosa baba naomba Msamaha mungu🙏
2026-05-13 02:27:02
2
Agnès Gatsama✨💫 :
Amen🙏🙏
2026-04-16 06:46:46
2
Theodosia emmanueltheodosia96@ :
Amina
2026-04-16 08:49:57
2
Godlove mmatule :
amina🙏
2026-04-16 06:57:08
2
irenebabe07 :
amina
2026-04-16 07:27:02
2
To see more videos from user @theresiajames1, please go to the Tikwm
homepage.