naweza andika wimbo wa gospel broo nikutumie namba za Whatsapp mim naomba broo na nimepata aidia
2026-04-18 08:28:28
29
Mack_Alfa :
Nikikutumia sounds unaweza kuni tengenezea 🎵 song
2026-04-17 13:20:31
7
Vasti Tiger :
wow unajua kaka studio yako inapatikana wapi
2026-04-15 19:43:02
21
Era Zone :
mm blo studio ipwap
2026-04-15 21:48:10
6
Nasry Wababas :
naweza kupitanalo Hilo beat mbona linapenya kwenye masikio Yani zur Sana kama uko siriadhi kaka Mambo yangu hayo sema sijawahi kuingia studi ila madrasa naimbaga sana
2026-04-21 20:05:43
5
soi :
studio iko wap?
2026-04-15 16:47:13
9
Saidah🦋🇰🇪✨ :
can I duet
2026-04-17 20:27:59
5
romantic bway👑 :
Kaka Npo hapa tufanye biashara maan nilichokiandika zaid ya music 👑
2026-04-17 17:59:40
13
M.B.A FOUNDATION :
Uzuri beat ni mali ya producer namaweza ata kuimbia watu 1000 na mambo yakawa fresh nendeni studio sasa sio mnauliza maswali tu
2026-04-20 16:06:30
9
Lucky star tz :
yani sisi wasani wambali tunakosaga vitu vizuli kama ivo lakini ipo siku
2026-04-21 20:34:46
7
Kellon 256 :
location
2026-05-17 19:35:10
2
Musso :
mzee
2026-04-22 16:41:58
2
shassoh Tz :
mm nitumie beat au iko wap
2026-05-01 22:17:23
2
💕 💘 Ïț'ż Śĥëë Mãÿã ❤️ :
Naweza
2026-05-26 14:13:25
2
Marwa Chacha :
Kali sana 🔥🔥🔥🔥
2026-05-11 16:55:22
2
Magreth Kayugwa :
dah hadi rah jaman ongera sana una kipaji kikubwa sana nakuombea ufike mbali san