@love_caption10: Mahusiano sio mchezo wa kubadilisha watu, ni kazi ya kujenga. Ahadi yangu ni kwako tu. ❤️🔒#mapenzi #mahusiano #lovevibes #heartbreak #Relationship
love_caption10
Region: TZ
Wednesday 15 April 2026 18:00:37 GMT
Music
Download
Comments
Eliviaasimwe :
Tusio kuwa na mahusiano je?
2026-04-15 20:19:58
34
Donald Abuko :
ujumbe kama huu huwa naskizia tu kwa simu na mahali kama hapa😒
2026-04-15 19:40:08
34
waridi kipenzi habibu :
plz plz nipeeni ruhusa nilie 😭,mana mapenzi yalinichafuwa moyo wangu, mapenzi yamekuwa kama risasi kwa mwili
2026-04-16 21:06:26
18
Chimami ❣️ :
nimemtumia mke wake akajibu daima wako hajaamka 😭
2026-04-16 04:13:02
12
Dr. lucas :
hayo maneno cyo kwa 2026 🥺🥺
2026-04-16 10:31:39
10
dibaguyo2 :
kweli nakupenda sana, lakini uleweki njia gani? mtu ataumia uanze mapenzi yako.
2026-04-16 01:03:05
8
Manuel 254% :
walai hio nyimbo Nan kaimba .imenigusa kwel 😳😳😳😳😳😳😳😳plz song name
2026-04-17 20:14:52
6
user8151483687142 :
nindoto
2026-04-16 00:44:39
6
user6567331676224fariblessed :
Nzuri sana,asante
2026-04-16 19:39:48
5
👷𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗧𝗨👷 :
Izi wanapenda wale watoto wa2000
2026-04-15 23:51:53
5
🤑 YUAN :
natamani nimwambie hivo x wangu lakini naogopa ataniita Malaya🥺
2026-04-19 20:30:29
4
alima mum🇺🇬🇺🇬🇺🇬💯 :
I promise
2026-04-16 09:24:10
4
Mo🙂🙂 :
Nimeipenda iyo taharabu
2026-04-16 04:03:32
4
MZUWA :
nalipa 30
2026-04-18 23:34:09
4
masai :
ahadi ni deni 🥰🥰
2026-04-16 12:25:52
3
madira angwandie :
mungu akusa idie imani yako nakupenda sanatenasana🇨🇩🥀🌺🌹
2026-04-16 22:12:00
3
safari roger manegbe :
iyo ndio wazoyako mwengine anawaza yake.
2026-04-18 23:50:25
3
mrkazi255 :
,nakumid
2026-04-21 20:54:02
3
Karembo 001 :
mayatima wa mapenzi hamjambo
2026-04-23 08:03:30
3
@Edu.LoverBoy8 :
❤️❤️❤️🤲💋🥀🥀🌹 @🦚💫✨kylerkeila🇦🇺✨🍥
2026-04-23 20:26:09
2
naty :
naty🥰🥰🥰
2026-04-15 19:05:26
2
Raphaer :
sawa kabisa hujakosea
2026-04-27 03:36:05
2
babebetty :
hii kiboko
2026-04-16 21:12:21
2
Peterson Manyanga :
📌 🤪: msijifanye hamjaona coment ya kwanza😂😂😂
2026-04-25 21:40:16
2
Mrs Alii :
copy please
2026-04-15 20:53:06
2
To see more videos from user @love_caption10, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.