Allah awajaalie wale wote' wasiokua na nyumba zao' Allah awape na ziwe na kher na wao......
2026-04-17 20:55:26
41
Raila Hamidu Mohammed :
kweliii kabisa
2026-04-28 09:04:31
2
Ze Leo Kids fashion ✨️ :
hapa ndo kipengere kinacho nishinda mimi maana napambana nitoke kwenye hiki niricho nacho, maana najua MUNGU NI MKUBWA anaweza kunijalia zaidi ya alichonijalia sasa hivi🙏😊