@uscf.mlimani.cct: Nguvu ya Imani, Somo lililofundishwa na mtumishi wa Mungu Ahadi Michael katika siku maalumu ya kuadhimisha MLIMANI DAY 2026, Mahubiri haya yalitolewa kwaajiri ya kukuvusha na kukuinua kukutoa katika udhaifu wa imani hadi kupata Nguvu ya Imani na kuelewa namna inavyoweza kufanya kazi sawa sawa na mapenzi ya Mungu.