da wanaume tunakutana na mengi mungu atupe nguvu zaidi
2026-04-16 10:44:53
30
sapirianohy plumber :
mwanaume mwanaume mwanaume mwanaume MUNGU sema na sisi
2026-04-16 13:08:46
15
Masita :
SAWA kabisa yaani umetisha bro
2026-04-17 03:23:44
5
nurdeejr🔵 :
Huyo Bodaboda ndo mimi 😥
2026-04-16 17:11:38
11
Kennedy Kaaya :
hiyo roho yamadeni hinatutesa wengi hila wazee tukaze tukiomba mungu sana
2026-04-16 17:30:28
6
MR.Asunga :
kweli kabisa mimi nilipoteza pesa na wallet ambayo kulikuwa na ada ya mtoto huwezi amini dereva wa bajaji alinisaidia nauli ya boda kurudi nyumbani kweli wanaume tunapitia mengi
2026-04-16 14:34:55
10
ابو هود :
mwamba ume tisha sana kwenye hili💯
2026-04-16 11:32:22
8
chief 💞 Alcat :
Mungu kabisa mie nishaomba mia 500 tu kwa muuza maindi igoma mwanza, Mungu amuongezee hiyo jamaa hakuitaji nijieleze sana na akanisaidia..kweli Wanaume tusaidiane sura na macho ya mwenye shida inaonesha tu.
2026-04-16 11:29:35
5
Gosbert Method :
wee acha TU
2026-05-11 21:02:09
0
Bibile Memeto :
mungu naomba ufunguwe riziki. zawa pambana ji
2026-04-18 16:19:26
1
0741809683 :
kwel brother
2026-04-22 20:11:43
0
EZE :
Dah Mungu atusaidie sana
2026-05-09 20:38:50
1
RK creator :
Ameeeeeeeeeen
2026-04-18 13:49:14
1
Kakolwa rajabu Saidi :
respect
2026-04-17 12:00:22
2
To see more videos from user @shauryapdates, please go to the Tikwm
homepage.