@oppajohs.studio: 💯

OppaJohs Studio
OppaJohs Studio
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 16 April 2026 10:17:14 GMT
1344932
65102
914
1368

Music

Download

Comments

husna.michael4
Husna Michael :
movie yangu pwendwa yakila siku
2026-04-16 15:43:20
805
bonnie38239
🇹🇿BONNIE 🔥💯 :
tulokesha kwa hii movie tukutane apa
2026-04-16 17:04:18
500
a2btrader
𝗔𝟮𝗯𝗧𝗿𝗮𝗱𝗲𝗿 $ :
Hii movie tulikuwa tunaiita Mishare mitatu 😁
2026-04-16 16:32:58
449
olympusclement
kissetheboy2026 :
hii movie ni balaa
2026-04-16 14:21:32
55
officialdjaty
Dee Djaty Perfume 🥰❤️ :
🤣🤣🤣🤣🤣Hii move haichoshii 🔥🔥🔥🙌
2026-04-16 18:59:16
51
m_costantine
Roz :
nakumbuka hii 2017 nilikua darasa la tatu ndo niliiona😄
2026-04-16 19:35:47
21
moudysummamjeda1
Moudy Summa Mjeda :
Hii move ilinikeshesha aiseee duh
2026-04-16 16:24:46
28
leocardia.richard
miss❤💋cardi💞💓 :
Hii move naipenda toka nikiwa 4m 2 mpaka sas jmn
2026-04-16 16:44:23
44
josephlwagi
Joseph Lwagi :
kuna mmoja kasema alikua darasa 3 2017😅😅 kumbe tupo na watoto humu
2026-04-16 21:59:08
38
zarzar_34
Tawakkal othman🤓 :
jina la movie
2026-04-16 14:15:07
7
babygirltuma3
Baby Girl Tuma :
inaitwaje jmn hii move
2026-04-17 07:15:33
9
agy50043
agy :
jmn hii move👐👐👐👐naipenda mpk kesho
2026-04-16 15:57:31
9
inno_ki
inno🎶 :
hahahahahahaa hii movie bana imewapa majina ndugu zangu wawili mmoja roying na mwingine zoha😂😂😂
2026-04-16 17:00:15
23
holly476
Hollie :
Hii movie ilifanyaga nkawa sipewi chakula 😁
2026-04-16 16:52:48
31
jackielyon01
its-jackie :
kitu ya kuitwa arrows on the bowstring nilikua silali jamanii
2026-04-16 19:37:21
19
linaah49
Nadoucha💥✨ :
nilikuwa nasauhau kula na kulala hii movie jamani🥰🥰🥰
2026-04-16 19:50:41
5
momdoreen19
momkemilembe19 :
Hii me naangalia bila kuchoka jamani
2026-04-17 04:15:32
6
stanleygadau329
stanlay :
ktkmovie hii ni ya dunia nimeichek zaid ya mala7 toka 2019 mbaka leo bado ninayo
2026-04-16 18:31:11
7
mrss.og
mrs og :
naomba jina la movie
2026-04-17 02:08:26
5
hayl3yy01
halima :
movie yangu pendwa kabisa ya muda alakin bado naipenda naweza kuangalia tena na tena bila kuchoka🥰🥰🥰🥰
2026-04-17 07:59:41
7
user8299532259147
happy amos :
inaitwa Arrows on the bowstring ☺️☺️movie kari sana
2026-04-16 19:37:29
38
kazumbadj
elias kazumba :
nkumbk mbali mnoooh asee
2026-04-16 15:52:24
6
mr_park13
mr_park13 :
ally dj ndio DJ wangu Bora wa muda woteeeee
2026-04-16 16:41:15
6
agape7732
Agape :
hii movie inaitwaje
2026-04-16 17:18:04
7
hekimahamis5
TRUCK FOR LIFE :
hii movie kwa mishale tu ni balaaa
2026-04-16 15:16:31
7
To see more videos from user @oppajohs.studio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About