@mecksan_chale: Mwanzilishi na Mwenyekiti wa GulfCap Group of Companies raia wa Kenya Bilionea Suleiman Shahbal, Akiwa kwenye Mahojiano na Moja ya Media ya Nchini kenya kwenye Kipindi Cha Tubonge, amesema kuwa kabla ya kuwa billionaire alishawahi kufeli kwenye Biashara 29 tofauti tofauti. Hii interview binafsi nimejifunza kuwa Hakuna kitu rahisi kwenye hii Dunia, chochote unachokiona kimesimama Basi jua Kuna Juhudi Nyingi Sana Zimetumika kufanikisha, hivyo usichukulie Pouwa.